Search results

 1. Royal Son

  Brand new LG V20 64GB for sale

  LG V20 Brand New 4G LTE Screen size Inches 5.7 Upgradable to Android 9 Ram 4GB Processor Qualcomm Snapdragon 820 Internal Storage 64GB Battery 3200 mAh removable Supporting Wireless Charger Fingerpring Location Arusha 0712350159 Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Royal Son

  Simu Mpya Full Box

  Lg V20 Brand New Full Box Android 8 Ram 4 Gb Internal Storage 64Gb Main Camera Dual Camera 16 and 8 Mega Pixel Fingerprint Location Arusha 0712350159 Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Royal Son

  Nauza simu mpya

  Brand new Ram 4 Gb Internal 64Gb 16 Mega Pixel Dual selfie Camera 5 Mega With Finger Print Tsh 295,000 0712350159 Arusha Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Royal Son

  Mabaharia mniombee nimetuma nauli

  Nimetuma nauli wakuu mniombee baharia mtiifu
 5. Royal Son

  RB au kesi huchukua kiasi gani kuisha muda wake?

  Habari wakuu, Hapa ndiyo sehemu yangu ya kupata maarifa. Naomba kuuliza RB huchukua muda gani kufika ukomo wake? Pia, kesi mahakamani huchukua muda gani kufutwa endapo mtuhumiwa hakuonekana mahakamani au kakimbia? Asanteni.
 6. Royal Son

  Naomba kujua Billing Zip Code ya Tanzania

  Habari wakubwa Naomba kujua Billing zip code ya Tanzania nataka kufanya manunuzi Online sasa wanataka hiyo nimejaribu 00000 imekataa, nimejaribu pia 23100 imekataa. Wakuu msaada.
 7. Royal Son

  Maziwa Fresh yasiyochemshwa yana madhara?

  Habari wakubwa, Naomba kuuliza hivi ukinywa maziwa fresh yasiyochemshwa kuna faida au madhara yoyote wakuu sababu nayapenda sana maziwa mabichi.
 8. Royal Son

  Misemo ya nyimbo zetu

  Kuna misemo mizurii ipo na pia ipo mibaya mimi naanza na mizuri Mrisho Mpoto-Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwaamini Mwana FA -usipende amani wakati wa vita Fid Q- Ukweli hauna Miguu lakini Uongo una mabawa Malizia zingine .... Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Royal Son

  Je, Serikali ikikunyang'anya uraia unaenda kuwa raia wa wapi?

  Habari ya asubuhi Hivi Serikali ikikunyanganya uraia unaenda wapi au unakuwa raia wa wapi? Je, huko unakokwenda utatumia pasi gani ya kusafiria? Asante
 10. Royal Son

  Uzinduzi wa kiwanda changu

  Kama kichwa kinavyojielezea nahitaji Mh. Mzito kabisa aje kwenye uzinduzi wa kiwanda changu
 11. Royal Son

  Kupima ugonjwa usiokuwa na tiba ni kujipa stress

  Sometime huwa nawaza unaenda kupima ugonjwa usiokuwa na tiba ni kujipa stress tuu buree Ila Wazungu Mungu anawaona
 12. Royal Son

  Swali juu ya suruali za kike

  Kama kichwa cha habari kinavyonena hivi hizi suruali za kike ile zipu pale mbele kazi ya nini zaidi naomba tu kufahamu
 13. Royal Son

  Kwa anayehitaji mwalimu wa sarakasi jijini Arusha

  Kama unatamani kujifunza sarakasi Mimi Mwalimu nipo Arusha Nina fundisha kwa wenye Umri wowote Umbo la aina yoyote mpaka jinsia yoyte Kama upo tayari nitafute hapa 0712350159
 14. Royal Son

  Kuwa mwenyewe tabu sana, bora kuoa tu!

  Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, yaani unakaa gheto unapika mwenyewe unakula mwenyewe unalala mwenyewe unatandika kitanda mwenye aisee hapana. Bora kuoa tuuu
 15. Royal Son

  Natafuta kazi ya udereva

  Wazima Huku Nina Miaka 26 Jinsia ni Mme nincheti cha Form 4 mimi ni dereva mzoefu nina uzoefu wa miaka 6 na pia nina uzoefu wa safari ndefu madaraja ya Leseni yangu ni haya A,B,D na E napia nimesoma Tour Guide na nina Basic Certificate in Eletronics Maintenance Nipo tayari kufanya kazi...
 16. Royal Son

  Lenovo N21 Chrome Book

  Hii sio PC inakaa na Charge 9 Hours Ipo katika hali nzuri sana uki update Inakuwa Android Location ni Arusha 0712 350 159
 17. Royal Son

  Cheka kidogo uongeze siku

  *Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela ni ya nini? Nikamwambia ni kifupi cha 100,000.* _*Na hii ni mpaka afunge shule*_ _Mambo ya...
 18. Royal Son

  The worst Mobile network in Tz

  Tigo hawa jamaa hakuna mtandao Hapa yaani net inasumbua haifiki hata 1 Mb per second halafu unampigia mhudumu anakujibu kwa nyodo shenzi Kabisa
 19. Royal Son

  NAOMBA MSAADA WA LINK YA KU DOWNLOAD ADOBE PHOTOSHOP

  Nina shida nayo naomba msaada wakubwa asante
 20. Royal Son

  NATAKA KUFUNGUA WORK SHOP YA ELETRONICS

  Ninamaliza chuo mwaka huu Ninataka kujiajiri naomba ushauri Na maoni ninataka mpaka mwezi wa sita niwe tayari ninayo
Top