Search results

 1. Arselona

  Tv Tuner

  natafuta external tv tuner lakin iwe dvb-s2 compatible.
 2. Arselona

  Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

  Habari wana JF, Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv. Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites...
 3. Arselona

  Furahia mechi za leo bure na sport24

  kwa wale wenye ungo ulioelekezwa intelsat906 pale zinapopatikana tvs za bongo mnaweza kufurahia epl la liga leo sebuleni kwenu mki rescan receiver zenu au kwa kuweka 4136 v 7200 kama decoder zenu ni dvbs2 mpeg4 compatible. Wenye mediacom muwe wapole. Ting AAL-003 decoder bwana, we acha tu.
 4. Arselona

  Own ur domain for free

  unaweza kumiliki domain ya mfano huu yourname.com bure,fuata link hii http:// freedomainfactory. com/?join=330785
 5. Arselona

  Openbox12 Hd Pvr na Jsc card

  Habari Jamii. Poleni kwa msiba wa Kanumba ingawa naona kama maigizo vile. Naomba mnisaidie,nataka kununua mojawapo ya bidhaa nilizoandika hapo juu na nimesha fanya mawacliano na kampun hucka. Hivi nikiamua kununua itanilazimu kulipia kodi? Na uki2mwa kwa DHL nitaupokelea wapi mzigo wangu? Aidha...
 6. Arselona

  Applicability of the RULE OF LAW IN TZ

  lawyers please help answer the following qn"in the ligth of modern formulation of the rule of law,how far is the application of the doctrine of law in tz.with practicle example lets substantiate our argument.i wish the late JK wud hv come from infinity to join Jf.bse jf is more than just ujamaa...
 7. Arselona

  Dell latitude d620 battery

  Hi waungwana.Naomba mnisaidie ni wapi ninaweza nikanunua battery la dell d620 kwani nililo nalo halinifai kabisa kwani limekwisha sana,yaani haliwezi hata kutunza charge hata kwa dakika 20.Mnaweza kuona jinsi ninavyokerwa nayo.
 8. Arselona

  Temporary fta tv channels

  kwa wale wenye decoder za ting AAL-003 tp 11747 h iko wazi.Enjoy b4 it last
 9. Arselona

  Tcu na matokeo ya waliodahiliwa 2011/12

  Baada ya ngojangoja ya muda mrefu ss hatimaye majina yametolewa hii leo.Wanafunzi wamepangwa ktk makundi mawili A&B.Kama ckosei ni kundi A tu ndio waliopata mikopo na B wamekosa.Kwa mtazamo wangu camini kabisa kama hawa wa2 hawana vigezo.
 10. Arselona

  Multichoice(dstv)

  Habari JF.Baada ya kupitia forums mbalimbali na kuongea na wa2 kadhaa imenishawishi kuandika thread hii.Sasa ninaweza kusema kwamba inawezekana kupata channels za dstv bure.Camini kama hakuna mwana JF yeyote anayenufaika na mpango huo kwa sasa ila inawezekana waka2shirisha nyuma ya screen,lengo...
 11. Arselona

  Uzuri wa digital satellite receiver aal-oo3 ya ting

  Wa2 wengi wamejitolea muda wao mwingi kuandika makala anuai kuhusu TING vs STARTIMES.Wa2 hao nawapongeza na kuwashukuru sana kwani maandishi yao yamenifanya na mimi ninunue decoder tajwa hapo juu.Concern yangu leo ni kuwashirikisha mazuri ya decoder hiyo.Kwa kuanza decoder hiyo inaweza...
 12. Arselona

  Norton internet security 2011

  Hi JF.Mi nilifanikiwa kudownload na kuinstall norton internet security 2011trial version siku tatu zilizopita.Badaye niliamua kuweka product keys ambazo zilionekana zimepitwa na wakati.Nilipojaribu kuweka keys nyingine nilishindwa kuweka kwani baadhi ya vitufe kwenye keyboard viligoma kuandika...
 13. Arselona

  Sclass hd satellite decoder

  baada ya kushindwa kupata strong srt 4910/4930 sasa naomba mnisaidie kupata decoder niliyoandika hapo juu.
 14. Arselona

  USB modem k3570-z

  Habari jf.Nime uninstall firmware ya modem yangu tatizo linalopelekea modem kutoonekana ktk pc yangu.Kwa yeyote mwenye firmware hiyo naomba anifanyie attachment kwenye thread hii.Thnx
 15. Arselona

  Flat tv/screeen monitor

  Natafuta tv monitor 22 /23 inches brands yoyote
 16. Arselona

  Zte modems k3570-z inachakachulika

  Ninapoandika thread hiii ninatumia modem yangu niliyochakachua muda si mrefu.kwa sasa natumia mtandao wa airtel kuwa online.if u dont bother pm me and i will help u at my conviniency .:majani7::majani7::majani7:
 17. Arselona

  strong srt 4910/4930 decoders zinatafutwa

  waungwa baada ya kunisaidia kupata laptop sasa naomba tena msaada wenu kupata decoder tajwa hapo na kwa gharama gani.natanguliza shukrani
 18. Arselona

  Strong srt 49030 hd decorder

  msaada wana jf. Ni wapi ninaweza kununua decorder tajwa hapo juu na itanigharimu tsh ngapi.natanguliza shukrani.
 19. Arselona

  Under graduate application forms MUHAS/SUA

  Habari Jf.Mi nna diploma in clinical medicine .Malengo yangu mwaka huu ni kurudi chuoni MUHAS/SUA.Nime2mia muda mwingi kutafuta forms tajwa hapo juu bila mafanikio.Ninashimdwa kuelewa kuwa tatizo ni mimi au tu wao hawana tena program kwa diplnma holder.Kama kuna anayefaihamu jinsi ya kuzipata...
 20. Arselona

  Satellite tv updates

  Hapa tutakuwa tunajadili maujanja ya FTA TV channels,nini kimetoka nini kimeingia katika ulimwengu wa fta tvs/radio.This thread aims at helping people especially from areas other than dar,mz,arusha,tanga and dodoma who use satellite dishes for tv reception.
Top