Search results

 1. radika

  Its not easy ya Lucky Dube ni bonge la wimbo.

  I remember I called mama on the telephone, I told mama am getting married I could hear her voice on the other side Of the telephone she was smiling.... And she asked me a question That I proudly answered... She said son did you take time to know her I said mama She's the best But today it...
 2. radika

  ''Uganda haijawahi kupigana na Tanzania'' - Damas

  Naibu waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damasi Ndumbaro, amekumbusha historia ya undugu wa nchi za Tanzania na Uganda ambapo amesema nchi hizo hazijawahi kupigana bali ziliungaan kuondoka udikiteta. Naibu waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
 3. radika

  Ally kiba anakwama wapi?

  Sina maana mbaya ila kwa hizi mambo ukiziona utajua kabisa kaka mkubwa anakimbizwa na bwana mdogo mond shida iko wapi kwa kaka mkubwa?
 4. radika

  Mzungu akiri kusambaza virusi vya ukimwi africa

  huyu anaekiri kusambaza UKIMWI kwa makusudi kwa Afrika. https://twitter.com//status/1169726755021754384?s=12
 5. radika

  Kumbe wapinzani wamefungiwa kufanya siasa?

  "Hata wapinzani wakifunguliwa leo tutajipanga na tutajua cha kufanya, kwenye chaguzi zilipopita wapinzani hawasimamishi wagombea wanaona aibu kwa sababu watashindwa vibaya kwenye uchaguzi" Ndg: Perreira Ame Silima, Katibu Idara ya Organization CCM. #Clouds360 Naona wao wenyewe wanatoa siri na...
 6. radika

  Deni la Kenya lazidi kupaa ujenzi wa SGR

  Deni la Kenya kwa China limepanda kufikia TZS 14.5 trilioni kwa miezi 12 kufikia Juni 2019, kufuatia kuchukua mkopo mpya wa TZS 2.2 trilioni katika kipindi hicho kwa ajili ya SGR. China ndiyo inaongoza kwa kuwa mkopeshaji mkubwa wa Kenya (bilateral lender), ikifuatiwa na Japan.
 7. radika

  Tupia uongo uliodanganywa ukiwa mdogo na wazazi wetu.

  Wangu ni huu Kinyonga akiwa anazaa/kujifungua basi anapasuka na kufa ndipo mtoto anatoka nilikuwa naumia sana akili sasa mtoto wake anatunzwa na nani ikiwa mama lazima afe!! Mamba akihisi njaa kama hajala na hana uhakika wa kula siku hiyo anaacha mdomo wazi nzi wanajaa kufuata harufu ya mdomo...
 8. radika

  Tuijadili kauli hii ya waziri Lukuvi inafikirisha sana

  "Nawaomba wanachi wa Jimbo la Ismani kumwombea Rais wetu Dkt. @MagufuliJP, anafanya mambo mengi ambayo marais wengine wameshindwa, hakuna rais mwenye uwezo wa kujizuia na tamaa ya mali za serikali,kama Dkt. Magufuli" Mh. William Lukuvi, Mbunge wa Jimbo la Isman na Waziri wa Ardhi Maoni yangu...
 9. radika

  Wapenda katuni tukutane hapa

  Hii kitu ipo wakuu
 10. radika

  Wapi kunafuka moshi tupeleke kuni?

  Gari langu la kuni nataka kuwakodisha lumumba streat kama kuni za kuwashia moto hazitoshi nimeandaa mzigo wa maana nasubur bwana mdogo arudi china tuendelee kuchochea moto tu
 11. radika

  Kwa nini nyoka hujivua gamba lake?

  Habar wakuu, Naomba kujuzwa kwa mwenye uelewa wa hili jambo kwa nini nyoka hujivua gamba lake? Humchukua muda gani kugundua kwamba anahitaji kulitoa gamba lake na kuwa na mwonekano mpya?
 12. radika

  Kwanini wamarekani weusi wanapenda kuonesha hela walizonazo?

  Nimeangalia video nyingi sana za wasanii na wanamichezo wa marekani katika social network wanapenda sana kujirekodi na kuzirusha hizo video zao wakichezea fedha au kuhesabu je ni ushamba au kujikweza kwamba wanapesa? Lakini hali ni tofauti kabisa na ngozi nyeupe namaanisha wazungu huwezi...
 13. radika

  Wanawake wachukia vitambi na wanaume

  Hivi kwa mfano mmeoana watu wa ma fashoon mpo ndani ya ndoa mkaanza kunenepa mara vitambi vimechipua ndoa nayo inakufa? Hizi pumba mnazifikiriaga kweli mnapowekaga hivyo vigezo? Nataka mweusi ua maji ya kunde ikitokea kapata maugonjwa mwili umebak na makovu kama gwanda la jeshi ndoa inakufa...
 14. radika

  Tetesi: Makao makuu ya EU kuhamia Kenya

  Wakuu kuna mzungu kanidokeza makao makuu ya nchi za umoja wa ulaya wana mpango wa kuhamia kenya hii ni kutokana kutoelewana kwendana sawa na serikali ya Tanzania Kitu ambacho wazungu wengi kimewashinda ni kuhamia dodoma ambapo wanaona hamna miundo mbinu mizur hali ya hewa ikiwa pamoja mashule...
 15. radika

  CCM mnavyotaka kuua upinzani kisa hiki kinawahusu sana

  Madhara yake mtayaona baadae hata hizo huduma mbalimbali zitolewazo sasa kwa mbwembwe nyingi na serikali ya CCM nyuma kuna watu wanasema subir waondoke kama hamjatafutana
 16. radika

  Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

  Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani Kope bandia Nywele kashonea Kucha bandia Suluali yaani jeans imetoboka magotini Sura imejaa make up Hapo hata sijushughulishi nae Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie...
 17. radika

  Hii ndo kete aliyocheza Maalim Seif yenye akili

  Maoni yangu hii ni hatua kubwa kwa maalim kwanza kafanya jambo ambalo cuf lipumba na ccm hawajategemea wameachiwa manyoya hadi muda huu Pili migogoro ya bara ya kesi za chadema na serikali ya magufuli vingempunguza nguvu maalim alichofanya ni sahihi sana ni suala la mbowe zitto na maalim...
 18. radika

  Mapya yaibuka uchaguzi wa marudio majimbo matatu

  Dar es Salaam. Serikali iliidhinisha takriban asilimia tano ya bajeti ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, kurudia uchaguzi katika majimbo matatu mwaka jana. Taarifa ya mabadiliko ya matumizi ya fedha kwa mwaka 2018/19, inaonyesha kuwa Hazina ilibadili matumizi ya zaidi ya Sh12.4 bilioni kufanikisha...
 19. radika

  Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

  Wakuu kuna jamaa yangu anatafuta wanapotoa kozi za magari makubwa ya kusafirishia mafuta na mizigo kwa gari kubwa anataka kujifunza kuendesha hayo magari kwa anaejua au anahusika msaada unahitajika kupajua.
 20. radika

  Kwa tume ipi ya uchaguzi kumtangaza mpinzani kashinda ngazi ya Urais?

  Binafsi nashindwa kuelewa watu wanajiamini vipi kuidondosha serikali ya ccm katika chaguzi wakati sote tumeona kilichotokea katika chaguzi za wale wabunge waliotoka upande huu na kwenda upande ule wamepita bila kikwazo kwamba wananchi walifanya maamuzi yale? La hasha ni utashi wa tume na wataule...
Top