Search results

 1. idawa

  Hivi kuna app inayoweza kupunguza mwanga wa tochi ya simu?

  Unatumia simu aina gani? Sent using Jamii Forums mobile app
 2. idawa

  Tuliojiandaa kisaikolojia kufungiwa line za Simu tukutane hapa

  Wewe unaweza kuwapigia wale wanaosajili line mtaani wakakusajilia hata Nyumbani kwako, hongera umeyapatia Maisha. [emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
 3. idawa

  Tuliojiandaa kisaikolojia kufungiwa line za Simu tukutane hapa

  Ndio nilivyoandika Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
 4. idawa

  Tuliojiandaa kisaikolojia kufungiwa line za Simu tukutane hapa

  Binafsi nilijiandikisha tena mara mbili lakini nimefuatilia namba zangu NIDA kama naomba mkopo benki. Hakuna nilichoambulia. Uzembe wa NIDA usumbufu nabebeshwa mimi. Matokeo yake naambiwa nijiandikishe upya, yaani nianze taratibu za kwenda kwa Mtendaji, Uhamiaji halafu NIDA. Acha wafungie...
 5. idawa

  Darasa la saba Dar kufanya mitihani 16 Jan 2020, Necta watoa ufafanuzi

  Sio kila kitu lazima upinge, kama huna hoja bora ukae kimya! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. idawa

  Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

  Tuambieni Kosa la pascal ni lipi? Kuleta habari za magazeti ya nje hapa jukwaan? Halafu habari za hilo gazeti zimeletwa na watu wengi tu zaidi ya Member watatu nimewasoma wakinukuu hicho chanzo. Watanzania tuache unafiki, wakati Mayalla analeta hapa hizo habari mlikuwa mnaunga mkono na kusema...
 7. idawa

  Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

  Mahakama imeshaamua tatari, hoja za Mwita hazina miguu ya kusimamia. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. idawa

  Bomu la US lilolenga wanamgambo wa Taliban, laua wananchi zaidi ya 60

  Marekani ndio Taifa la kigaidi duniani! Sent using Jamii Forums mobile app
 9. idawa

  ‘Anabweka bweka huko nje’: Raila speaks out over Miguna saga

  Raila mpuuzi sana, kweli wanasiasa watu wa ajabu sana
 10. idawa

  Ni mwaka 2020, mwaka wa uchaguzi, mwaka wa neema na machungu mwaka ambao waganga wa jadi wana thamani kuliko uhai

  "Nitoe Rai kwa Benard K Membe, ni vema akarudi kwa Dr Magufuli aombe msamaha no matter what, hawezi kuwa Rais wa nchi iwe kwa amani ama kwa shari, he can't be there, so sululuhisho ni kuomba msamaha walau aje azikwe kwa heshima kama walivyofanya wenzake Lowassa & Sumaye." Hii aya ndio...
 11. idawa

  Game ya Barcelona vs atlectico Madrid wanaonesha wapi?

  Duh!! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. idawa

  Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

  Kabudi kapoa sana hadi nimemsahau kama bado Waziri.! Sent using Jamii Forums mobile app
 13. idawa

  Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

  Mwana umetisha sana! [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 14. idawa

  Nauza TV flat screen lg inch 43

  Unauza tv picha unaweka ya box[emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
 15. idawa

  Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

  Hongera mmejibu bila mihemuko, japo uhakika wa majibu ni suala lingine. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. idawa

  Nikipakuwa Dstv katika simu yangu inaniandikia 'Device is not certified' msaada

  Una king'amuzi cha DSTV Sent using Jamii Forums mobile app
 17. idawa

  Je, inawezekana kubadilisha kioo cha TV?

  Gharama zake zikoje mfano Samsung nchi"40" kubadilisha kioo Sent using Jamii Forums mobile app
 18. idawa

  Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

  Zitto na Mbowe sioni tofauti kati yao, Wakati Zitto akitumikia CCM,Mbowe anatumia upinzani kwa ajili ya maslahi yake na genge lake.. Hakuna mwenyu upinzani wa kweli ndani ya moyo wake... Sent using Jamii Forums mobile app
 19. idawa

  Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

  Hii ni kwa ajili ya kuzima zile propaganda sio Sent using Jamii Forums mobile app
 20. idawa

  Kauli ya Rais Magufuli kuhusu kusajili line za simu: Mwanaharakati ampinga na kuiita Tanzania "Fingerprints Country"

  Mpaka sasa kuna laini kibao zinazouzwa mitaani zimesajiliwa kwa finger print.! Sent using Jamii Forums mobile app
Top