Search results

 1. idawa

  Tuliojiandaa kisaikolojia kufungiwa line za Simu tukutane hapa

  Binafsi nilijiandikisha tena mara mbili lakini nimefuatilia namba zangu NIDA kama naomba mkopo benki. Hakuna nilichoambulia. Uzembe wa NIDA usumbufu nabebeshwa mimi. Matokeo yake naambiwa nijiandikishe upya, yaani nianze taratibu za kwenda kwa Mtendaji, Uhamiaji halafu NIDA. Acha wafungie...
 2. idawa

  Kipanya leo na Waandishi wa habari

  Waandishi wa habari hii ni kweli ama Masudi kawadhalilisha. mayalla tunaomba tathmini yako. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. idawa

  Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM yawaita ili kuwahoji Kinana, Makamba na Membe

  Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo. Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa kwa Makatibu wakuu wastaafu Kinana na Makamba pamoja na Waziri wa Zamani Ndugu Bernard Membe...
 4. idawa

  Masudi Kipanya: Amemaanisha nini hapa ufafanuzi tafadhali

  Kwa wachambuzi wa katuni anamaanisha nini hapa msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. idawa

  Mkuu wa Wilaya Sumbawanga aagiza kung'olewa bendera zote za CHADEMA wilaya nzima

  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa. Chanzo: Mwananchi
 6. idawa

  Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

  Esther Matiko 44 John Heche 38 Hongera Mwana mama Esther Matiko Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania! Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania. Naamini ni kiongozi mkubwa ajaye.
 7. idawa

  Mbunge Kubenea aandika barua TCRA akilalamika kudukuliwa

  Mbunge wa jimbo la Ubungo Said Kubenea ametuma barua TCRA akilalamika kudukuliwa mawasiliano yake ya simu na watu wasiojulikana Kubenea amesema watu hao wamekuwa wakifuatilia mawasiliano yake na Anthony Komu pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya China Mwasote.
 8. idawa

  TFF nini wajibu wenu kama mnashindwa kusaidia timu?

  Mpira wa Afrika umejaa figisu bila miamala hauendi. Juzi E Gine tumeshinda mbili kwa moja lakini ukiangalia penati ya Samata ilikuwa wazi kabisa Refa akatupotezea bila juhudi binafsi za wacheji huenda ingekuwa sare. Jana na Libya tumenyimwa penati ya wazi kabisa halafu wao wamekuja kupewa...
 9. idawa

  Uchaguzi 2019 Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

  Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
 10. idawa

  Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

  Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi. Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake, akaunti za mitandao ya kijamii na mengineyo. Ili kuendelea...
 11. idawa

  Mahakama yawaachia Watuhumiwa watano wa Uhujumu Uchumi

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia watuhumiwa watano waliokuwa wakituhumiwa kujiunganishia bomba la mafuta la Mamlaka ya bandari TPA. Uamuzi huo unafuatia DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
 12. idawa

  TCRA: Kuanzia Desemba 2019, mtu atahitaji king’amuzi kimoja tu kuona chaneli za bure na za kulipia

  Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA wametangaza kuja na king'amuzi kitakachoonyesha chanel za bure tu nchini. Hata hivyo wamefafanua kuwa kama utataka kuona chaneli za kulipia kutakua na sehemu ya kuwekea kadi ambapo utaweka kadi ya ving'amuzi vya Dstv ama azam. Kifupi hivyo ving'amuzi vitakuwa...
 13. idawa

  Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

  Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
 14. idawa

  Kutosajili laini ya Simu kutozwa faini ya Tsh milioni 5 au kifungo cha mwaka mmoja jela

  Watanzania tujiandae kisaikolojia, milioni tano sio mchezo hasa kwa usawa huu. Kwa nini wasiifunge laini ambayo haijasajiliwa kuliko kutunga sheria ya ajabu kama hii. Wengi tutachezea jela. ***** Ni nadra kwa Bunge kumaliza mkutano mmoja bila ya kufanya marekebisho ya sheria, na Bunge...
 15. idawa

  Harmonize atoa wimbo mkali kumsifu Rais Magufuli

  Harmonize ametoa remix ya Kwagwaru akimpongeza na kumsifu Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi. Kwa huu wimbo sitashangaa Magufuli akimpa shavu la kuelewaleka Harmonize.
 16. idawa

  Nini hatma ya huyu Mkurugenzi?

  Mkurugenzi emeonekana kutoa majibu ya uongo kila alipoulizwa swali na Rais Magufulihttps://www.instagram.com/p/Bz8eiypn5jy/?igshid=19l7phpz8i9eo
 17. idawa

  EAC ya zamani imerudi rasmi, je zile nchi zingine zimetengwa?

  Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alifanya ziara binafsi kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Wilaya ya Chato, waliongea mengi zaidi walisisitiza umoja na ushirikiano kwa wananchi wote bila kubaguana. Leo Rais Museveni akitokea Angola amefanya Ziara binafsi Kama Uhuru Kenyatta...
 18. idawa

  Bernard Membe: Serikali ikemee utekaji unaondelea nchini

  Waziri Mstaafu wa Mambo ya nje Bernard Membe imeitaka serikali kukemea utekaji unaondelea nchini hasa wakati huu tunavyoelekea kwenye uchaguzi Ameongeza kuwa huu sio utamaduni wa Taifa letu. Viongozi wa serikali na Chama pia vyama vyote, bila kusahau viongozi wa dini wa madhehebu yote kukemea...
 19. idawa

  Sakata la watanzania kufukuzwa Kenya; Spika asema Charles Njagua hana hadhi ya kujibiwa na Serikali. Balozi wa Kenya asema sio kauli ya Serikali

  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Waziri mkuu kutoa tamko kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha mbunge wa Kenya akiwataka Watanza walioko Kenye kuondoka ndani ya Saa 24. Jana mbunge wa Kenya Charles Njagua alimaarufu Jagwa alieimba kibao cha maarufu wa...
Top