Search results

 1. fuma

  Nifanye nini?

  Habari za kwenu wakuu Mwenzenu nina shida hii,ushauri wenu utafaa sana Kiufupi ni kuwa Miaka mingi kidogo nikiwa masomoni huko Dar es Salaam nilibahatika kumpata binti mmoja ambaye baada ya muda tulikuwa wapenzi-tulipendana Nilimzidi mwaka mmoja kimasomo as in kipindi namaliza...
 2. fuma

  ONDOA STRESS

  Tupia povu lolote kuhusu chochote
 3. fuma

  Wahudumu wa bar jitahidi kunawa mikono, inanuka sana...

  Jumamosi ya leo ikitamalaki kwa utulivu iliyonao...nipo mitaa ya Nyakato-Meko Mwanza nikifuatilia 'games' za ligi kuu ya Uingereza Nmeagiza kinywaji...kikaja Ila sasa kinanuka kinyama...cha kwanza sikukimaliza(harufu ilinishinda) nmeagiza cha pili pia habari ni kama cha mwanzo. Sina mashaka...
 4. fuma

  Mh.Rais nogesha hii kitu

  Mtukufu sana rais wetu wa awamu ya tano mh.JPM nakuomba tafadhali nogesha hii sherehe ya taarifa ya mchanga ANGALAU UTOEPO AJIRA HATA ZA WALIMU WA SANAA NOGESHA BABA
 5. fuma

  Sisubiri kitu

  Nimeamua kuhamia Papua huko Nani tunakwenda sote??
 6. fuma

  Kuna 'jipu' kubwa mahala, litumbuliwe ama tungoje litumbuke lenyewe

  Jipu la kutosikia. Kuona wanayozungumza wananchi si ya maana, wananchi (wenye nchi yao) leo wanasimangwa, wanakejeliwa, hawatiliwi maanani kwa kile wasemacho. Jipu la upofu. Yanayotukia leo katika jamii yetu hayana maana kwao, hali inazidi kuwa mbaya, polisi wanakufa lakini hili halionekani...
 7. fuma

  Kwanini watu husahau kusema 'KAMA UNAYO' pale wanapoomba pesa

  Kuna hii tabia ya mtu(unayemfahamu na anayekufahamu kabisa) anakutumia SMS yenye kusema......'naomba unisaidie sh.elfu kumi...nisaidie nina shida' Unabaki unajiuliza huyu jamaa ana uhakika gani kama niko na hii kitu...kwann watu tunasahau haka kasentensi??? 'kama unayo'
 8. fuma

  MAMA

  baada ya kukengeuka sana kama kijana...ni kitu gani mama yako alikisema ama alikifanya na kikakurudisha katika mstari mnyoofu??? Share na mimi mkuu kama itakupendeza. Dedication OCTOPIZZO mama Ikuliwaze kipindi unachangia KARIBU
 9. fuma

  Msaada kumhusu Tsula Mwangi

  Tafadhalini sana wakuu Kwa anayejua chochote...ama jambo lolote...kuhusu hilo jina hapo juu....tafadhali anijulishe Nasoma maelezo flani ya kimombo yananichanganya sana. Asanteni na karibuni kwa michango
 10. fuma

  Ilishawahi kukukuta hii

  Ilisababishwa na nini?? Vp sasa hivi bado unaendelea kukutana nayo???
 11. fuma

  Dada (salamu TMK)

  Nipo nausikiliza huu wimbo siku ya tatu sasa. Kama kwa namna yoyote umekugusa ama unakukumbusha kitu ama kukufunza chochote. Sema kitu tafadhali.
 12. fuma

  Kapata Div II ya 10 PCB ila hajapata chuo round ya kwanza na ya pili, afanyeje?

  Wakuu...salamu kwenu nyote Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu...alikuwa anasoma PCB na alipata divison TWO points 10 lakini mpaka naandika haya hajafanikiwa kupata chuo...si round ya kwanza hata hii ya pili. Kwa mwenye kujua anijuze nini tatizo...na kama hali itaendelea hivi nini...
Top