Search results

 1. Amorbwoy

  Tumetoka mbali voo

  Halafu wanatuita wizii
 2. Amorbwoy

  Manjonjo ya mwanasheria rwegashora.

  Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurud nyumbani Bukiba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja. Siku moja akiwa ndani ya ofisi yake alinuona mtanashat na mdada mmoja mrembo anakuja ofis. ini kwake akajua ni mteja anamletea kesi. Ndipo...
 3. Amorbwoy

  Chemsha bongo.

  Nitajie neno la kiswahili linalomalizikia na neno fo, ukiachia kifo na fofofo?
 4. Amorbwoy

  Ni yupi kati ya hawa unamkubali na wimbo wake gani ukiuskiza unakuchota?

  Brian Adams. Brian Mcknight. Geoge Machael. Phil Collin. Kenny Roger. Kenny G. Kenny Thomas. Lion Richie. Elton John. Don William. Enric Eglesias. Born M. Abba. Joe Thomas. King Robert Kelly. Carl thomas. Tyress hotboy. Tank. Avant. Dons john.
 5. Amorbwoy

  Msaada wa jina la wimbo huu

  Habari zenu wana jamii. Ninashida wa wimbo ambao siujui jina lake yeyote mwenye kujua tafazali anisaidie. Wimbo wenyewe ameimba AY na jamaa simfaham kutoka Uganda. Verse ya wimbo huo Binadam sio watu, Ukiwa na hela utawaona Mbona sasa wamekimbia.
 6. Amorbwoy

  Nisaidien kupata nyimbo za joe thomas.

  habr zenu waungwana nani atang.saidia kupata nyimbo za joe online?
Top