Search results

 1. white wizard

  Kutuma mzigo kutoka Bukoba kwenda Iringa

  Sasa mkuu hiyo route haipo, yaani basi litoke mwanza kwenda mbeya lipite kahama? Hakuna njia hiyo, hapo cha kufanya huo mzigo utoke bk, hadi dodoma /dar halafu ndio uje iringa, halafu lazima hiyo kampuni utakayotumia toka bk, iwe na route za iringa ili ukifika dodoma/dar waweze kuuhamisha tu...
 2. white wizard

  Dkt. Anthony Diallo afunguka aliyoyafanya Nyerere dhidi ya mtu anayesema hakufanya kitu, hata 5% ya Nyerere yeye hajafanya

  Cha ajabu bado kwenye chaguzi ndogo, figisu kibao, mnaogopa nini sasa?!!
 3. white wizard

  Mwandishi wa Kwizera Fm George Bahamu atupwa porini

  Mkuu hapa sio fb!! Na inaonekana kumbe kweli hujui tofauti iliyopo kati ya God, na gods daaaa!! Nilidhania labda ni typing error tu!! Pole mkuu, sasa badala ya kutoa povu ulitakiwa ushukuru kuwa umejua!!
 4. white wizard

  Matumizi mabaya ya ujenzi wa flyover na madaraja ambayo malori hayaruhusiwi kupita. Why?

  Unaposema lori una manisha lipi? Kwani haya ya tani 20-30 mbona hapo tazara yanapita tu juu ya daraja? Hata sasa ninapo andikaa hilo jingine linapitaaa, hayo bakkhesa?
 5. white wizard

  Nini kimeikumba kampuni ya Dangote Cement?

  Labda alipakiza kiboya boya tu!! Amelisimamisha barabarani, akapakiza mzigo bila kuchukua namba ya gari wala ya dreva unategemea nini kama dreva mwenyewe ni muhuni? Na yanafanana kila kitu isipokuwa namba za usajiri na zile za pembeni!! Na huwezi kwenda ofisini kulalamika kwa tahadhari ipo...
 6. white wizard

  Nini kimeikumba kampuni ya Dangote Cement?

  Kwani mkuu wale waliokuwa wanawatumia picha pindi wakiliona gari la dangote limepakia mzigo tofauti na wa kampuni, wameshindwa kazi?!! Kumzibiti mbongo ni kazi sana, njaa ni jitu baya sana!!!! Lazima ujifunze mbinu nyingine!!! Hiyo ya picha pamoja na vts vimedunda!! Ila bwana kwa uendeshaji tu...
 7. white wizard

  Nini kimeikumba kampuni ya Dangote Cement?

  Inategemea na wewe mwenye mzigo uko makini kiasi gani!! Japo kuna karatasi yenye onyo juu ya mzigo ambao sio wa dangote ukikutwa umepakiwa, unataifishwa!!! Mimi mbona huwa nawatumia sana kusafirisha mizigo yangu!!
 8. white wizard

  Mwandishi wa Kwizera Fm George Bahamu atupwa porini

  Mmmmm!! god tena?!!! Au ulimanisha GOD?? kwani ni maneno yenye maana tofauti!!!
 9. white wizard

  Kwa wenye mtaji angalau 5M wajaribu hii biashara

  Sio suala la kutofanya!ila lazima mhusika ndio afanye upembuzi wa kutosha na kujirizisha juu ya biashara husika,ndio afanye maamuzi kwani humu wengi wanaleta mawazo ya biashara lakini wanayafanya ki urahisi sana bila kuelezea na risk zilizopo.unasoma mawazo ya watu kisha unayafanyia kazi ki undani
 10. white wizard

  Kwa wenye mtaji angalau 5M wajaribu hii biashara

  N ni sawa lakini muwe mnatoe na risk pia
 11. white wizard

  Kwa wenye mtaji angalau 5M wajaribu hii biashara

  Hizi biashara za kwenye karatasi kuzisoma zinatia moyo kweli ila daa kwenye uhalisia ni ngumu sana!!kwanza kuanzisha biashara mpya tena sehemu mpya,lazima uwe mvumilivu kweli!!sasa watu wengi tena wenye pesa za kuchungulia ni ngumu kuwa mvumilivu kwani hicho ki mtaji kikipotea mtu amekwishaaa!!!
 12. white wizard

  Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

  Inawezekana!! Lakini kufikia mauzo hayo sio kitu cha mchezo mchezo!!hususani kwa mtu anayeanza biashara hiyo!!
 13. white wizard

  Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

  wakubeti, Mnajua biashara ya kwenye karatasi ni tofauti na ktk uhalisia halisi!!! Naona watu wengi mna base sana kwenye biashara za makaratasi!! Hivi kwenye biashara ya hardware hadi uingize hiyo laki 3 kwa siku sio kazi rahisi hivyo!!! Nondo tani 3-4 kwa siku?!!! Biashara, jamani sio rahisi...
 14. white wizard

  Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

  Kwani hapa kuna uchaguzi?hadi useme njia nyeupe!ingekuwa hivyo hii hofu imetoka wapi ya mazuri yote yaliyofanywa kwa miaka 4!!serikali za mitaa tu watu wanapanua goli?!!
 15. white wizard

  Msaada wa Lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini

  Ni pembezoni mwa ziwa victoria, maeneo ya kamanga ferry!! Ukiwa town centre kwa boda boda ni buku jero tu. Vile vile kuna daladala, nadhani zinazotoka capripoint zinapita hapo!! Bwana hutajutia kuwa hapo!!ukishazoea hata kwa miguu unakwenda tu, unakuja hadi nyamagana stadium, unashuka hadi...
 16. white wizard

  Bodi ya Uratibu wa NGOs yatahadharisha NGO kutojihususha na masuala ya kisiasa

  Hivi kujihusisha na mambo ya siasa ni nini? Kwani taasisi yoyote, ikijitokeza na kukemea uovu unaofanyika kwenye jamii hasa unaohusiana na viongozi, wanaambiwa wanajihusisha na siasa!!! Ila hao hao wakijitokeza na kukemea wapinzani kuwa ni hatari kwa taifa, wanapongezwa kuwa ni wazalendo!!! Hao...
 17. white wizard

  Simba SC Yamfuta kazi Kocha Mkuu, Patrick Aussems

  Soka la bongo ni kichomi!! Hata hawaeleweki hasa huwa wanataka nini! Hata wakupe malengo gani na ukayatimiza, basi tu, watakutimua, They hate somebody naturally!!!
 18. white wizard

  Wale mnaomshangaa Rais Magufuli kutosafiri nje ya nchi someni ya Tshisekedi

  the truecaller, Hata sioni kitu cha ajabu hapo kwani huko nyuma congo haikuwa na mahusiano mazuri ya kimataifa, sasa ili kuyajenga upya lazima ahangaike kweli kweli, bila hivyo hataweza, mataifa mengi hasa ya ulaya yaliishaitenga congo.
 19. white wizard

  Wale mnaomshangaa Rais Magufuli kutosafiri nje ya nchi someni ya Tshisekedi

  the truecaller, Hata sioni kitu cha ajabu hapo kwani huko nyuma Congo haikuwa na mahusiano mazuri ya kimataifa, sasa ili kuyajenga upya lazima ahangaike kweli kweli, bila hivyo hataweza, mataifa mengi hasa ya ulaya yaliishaitenga Congo.
Top