Search results

 1. Minael Masasi

  Offer ya kufunga mwaka kwa punguzo kubwa la greenhouse na nethouse

  Tunatengeneza greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika, 1) tunajenga za miti, ambazo hukaa kwa muda wa miaka 8, a) mita 6 upana 12 urefu,tunajenga tunalifunika kwa wavu maalum, ambayo kazi yake ni kuweka uwiano sawa wa hali ya hewa inayofaa kwa mimea,, gharama yake milioni 3. 1...
 2. Minael Masasi

  Utakapojenga Nyumba yako usisahau 2.

  Asante sana maneno mazito sana haya
 3. Minael Masasi

  Jinsi mwanamke anavyoshusha thamani yake kirahisi sana

  dah, niliwahi kuwa na demu mwenye ghetoo sa ana marafiki hatari kuna siku nilikuwa nae ndani' kumbe kuna rafiki zake wanataka onja anjarii dah ilikuwa tabuu tupuuu. Kumbe anawapaga story za show zetu za kibabeee
 4. Minael Masasi

  Tunafunga mfumo wa umwagiliaji

  Tupo dar na pwani kwasasa hila huduma zinafika popote ulipo
 5. Minael Masasi

  Fursa katika kilimo cha mbogamboga kwa gharama nafuu

  Angalau uwe na gharama ya laki 3 na nusu ambapo tutaweka mbegu na drip
 6. Minael Masasi

  Fursa katika kilimo cha mbogamboga kwa gharama nafuu

  Kutakuwa na gharama ya mbegu, na kama utaamua tufunge na mfumo wa umwagiliaji maji au ukitaka umwagilie kawaida yote yanawezekana
 7. Minael Masasi

  Fursa katika kilimo cha mbogamboga kwa gharama nafuu

  Ukiamua unaweza kufanya mwenyewe
 8. Minael Masasi

  MTAJI MILIONI MOJA LAKI SABA. NIFANYE NINI NDANI YA DAR NITOKE..

  Kodi shamba lenye chanzo cha maji karibu,, lima mazao ya biashara kama nyanya, au mbogamboga au nipigie 0745478823 nikupe mwongozo...
 9. Minael Masasi

  Tunafunga mfumo wa umwagiliaji

  Ni kweli na jambo kubwa uwa tunafanya kwanza surver,, n
 10. Minael Masasi

  Fursa katika kilimo cha mbogamboga kwa gharama nafuu

  Ofisi zetu zipo madale Dar es saalam
 11. Minael Masasi

  Fursa katika kilimo cha mbogamboga kwa gharama nafuu

  kilimo cha mboga mboga katika bustani za nyumbani kwenye eneo dogo tuu ambazo unaweza kuziotesha kwaajili ya matumizi ya nyumbani na ziada unaweza kufanya kama sehemu yako ya kipato cha ziada,, umuhimu wa kupanda mboga mboga nyumbani, 1. Utunzaji wa mazingira na kupendezesha eneo lako hata...
 12. Minael Masasi

  Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

  SURA YA KWANZA UCHAGUZI WA ENEO KWAAJILI YA UJENZI WA BWAWA LA SAMAKI *sifa za kuzingatia katika kuchagua eneo zuri la ufugaji wa samaki 1.maji kwanza kabisa yatupasa kujua chanzo cha maji utakayo tumia katika bwawa lako je eneo unaloenda kuchagua katika ujenzi wa bwawa je maji...
 13. Minael Masasi

  Tunafunga mfumo wa umwagiliaji

  TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA, EPUKA KUKAUKIWA KWA MIMEA SHAMBANI KWA UKOSEFU WA MAJI YA UHAKIKA, NA KULIMA KWA KUTEGEMEA MVUA PEKEE, umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya drip zinazomwaga matone kidogo kidogo, 1...
 14. Minael Masasi

  Tunatengeneza Greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika

  GREENHOUSE PROJECT, OFFER YA SIKUKUU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA, Tunatengeneza greenhouse za ukubwa tofauti kutokana na eneo husika, a) tunajenga za miti, ambazo hukaa kwa muda wa miaka 8, b) tunajenga za chuma ambazo zinakaa kwa muda wa miaka 20, c) tunajenga za aluminum ambazo hukaa kwa...
Top