Search results

 1. Kiti Chema

  Nipeni ushauri: Je, nimpeleke kwenye vyombo vya sheria au nimuachie Mungu?

  Habari wana Jf. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye lengo, mimi tangu mwaka jana niliajiriwa kwenye kampuni ya mtu binafisi, Kipindi ninaajiriwa msimamizi mkuu walikuwa ni wahindi baada ya kama miezi 4 wale wahindi wakaondoka kwao wakafanya kumkabidhi MTANZANIA ili aimiliki hiyo...
 2. Kiti Chema

  Je kusudi la Mungu kumuunba mwanadamu ilikuwa ni lipi kati ya haya mawili?

  Wanajamvi habarini wote. Mimi ninaswali ambalo linanitatiza kiimani, kama kichwa cha habari kinavyo uliza. Hivi kusudi la mungu kumuumba mwanadamu ilikuwa ni 1. Nikufanya kazi au 2. Kumwadundu mungu. Kwa sababu ninaposoma katika kitabu cha mwanzo naona alimuumba adamu harafu akamkabidhi bustani...
 3. Kiti Chema

  KWA MWENYE UJUZI HUU NAMUOMBA ANISAIDIE KIDOGO

  Wanajamvi habari. Natumai mpo salama; niende kwenye lengo kamili. Me nilikuwa naomba mtu yeyote mwenye ujuzi wa kuunganisha computer moja na nyingine kwa kutumia Network kupitia kifaa kinacho ita D.Link anisaidie hata kaaidia kidogo. Yaani ninamaana kuwa kuunganisha computer moja na nyingine kwa...
 4. Kiti Chema

  Msaada. Kwa mwenye ujuzi wa kufunga ving'amuzi

  Habari wana jamvi. Kama kichwa uzi kinavyo jieleza, nilikuwa naomba msaada namna ya kufunga ving'amzi hata ikiwa aidia tu au maelezo mafupi ya namna yakufunga ving'amzi. Napenda sana hiyo fani.
 5. Kiti Chema

  Ushauri: Nimekuwa na tabia ya kuogopa kuoa

  Nawasabahi ndugu zangu mlio wazima na wale wenye shida kidogo Mungu atatia wepesi. Niende kwenye kusudi maalumu, mimi ni kijana ambaye nikitazama idadi ya namba ya miaka yangu naona inakimbia. Leo linalonifanya niandike uzi huu ni hii hofu ya kuoa niliyo nayo. Nimekuwa na tabia ya kuogopa kuoa...
 6. Kiti Chema

  Nahitaji mwenye photocopy mashine

  Habari wakuu wangu i hope kila mmoja wenu yuko salama. Niende kwenye lengo kamili. Nahitaji mwenye kuuza photocopy machine aniuzie au mkazi wa Dar aniambie machine hiyo inauzwa bei gani. Mimi ni kijana ambaye nahitaji kuinuka na kusimama kama wengine kiuchumi na plani yangu mwaka huu nilitaka...
 7. Kiti Chema

  Msaada wa kurekebisha simu yangu

  Habari wote mliopo humu. Kwa wajuzi wote wa wa simu nawaombeni msaada wa kurekebisha simu yangu ya Nokia lumia 630. Tatizo ni airplain(flight mode) imekataa kutoka na ninapo jaribu kuiweka Off airplan simu inachemuka sana na imesababisha siku hizi nikiwa naichaji simu inajiwasha direct bila...
 8. Kiti Chema

  Kila tukipanga kugegedana na huyu msichana huwa naota ndoto mbaya usiku

  Wakuu natumaini mko vizuri katika afya. Kama mada inavyojieleza hapo juu. Mimi nikijana ambaye tangu nizaliwe sijawahi kufanya tendo la ndoa na sikuwahi kujihusisha na mapenzi hata siku moja. Imekuwa mwezi mmoja uliopita nilimuona demu fulani hivi nikamkubali moyoni kutokana na udomo zege...
Top