Search results

  1. G

    Kwa waliokutana na hii hali Rabininsia Memorial Hospital tujuzane

    Nimekuwa mhanga wa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina...
  2. G

    Tugomeeeni bidhaa na huduma zisizo za lazima kukabiliana na ukandamizaji wa demokrasia

    Hawa jamaa wanchoringia ni hizo kodi zetu tukateni huu mrija wa kodi kwa kususia bidhaa na huduma zisizo za lazima kwa mwezi mmoja.Kupambana nao kwa njia ya maandamano na kupamvana na dola hatutafanikiwa lazima wananchi tuache kulalamika na viongozi na wanaharakati wahimizeni watu kususia...
Top