Sawa lakini kwa kipindi ambacho nimetumia siwezi kuwa nimejisababishia usugu... wasiwasi wangu ndio uko hapo tu...chanzo nimeshakifahamu na nitabadilika
Ushauri mzuri sana, nimeamua kuacha pombe lakini kuna risk ambazo ni bahati mbaya kama kujichoma sindano n.k je nikipata risk kama hizi PEP itaweza kunisaidia bila kujali historia yangu ya nyuma?
Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.