mimi nilikuwa nadhani ccm watafurahia kwa Lowasa kuondoka kumbe baada ya kufurahia wameumia ndio maana kila siku habari ni lowasa tu, wameshasahau kama wana mgombea wa kumpigia debe......
Wote wanaolalamika kuhusu udini hawana hoja na malalamiko yao yameegemea zaidi kwa kuangalia majina ya watu na wala hamna hata mmoja aliesema anasali kanisa moja na Ernest kwa hiyo anamjua kuwa ni mkristo safi au anaswali msikiti mmoja na Abdurahman kwa hiyo ni mwislamu safi. Wote...
Mikakati yote ya kuibana Chadema imeshindwa sasa wanakuja na huu mpya wa madawa ya kulevya, kweli wabunge wa magamba vichekesho vitupu. Ushauri wangu kwa Magamba Msihangaike na chadema hangaikeni na sisi wananchi tunataka maisha bora na maendeleo, tupeni hivyo halafu muone kama kuna mtu atakuwa...
Ok sawa na je, huwa wanachukua muda gani kuanza kutaga? Na chakula chao ni kama cha layers wa kawaida na kwa mfano nikiagiza 200 nitapataje uhakika kuwa wote watakuwa wanataga? Kwasababu nilishawahi kufuga kuku wa mayai lakini sio wote walikuwa wanataga.
Mkuu kichwa
Asante kwa ufafanuzi wako hivi ni shilingi ngapi hao kuku wazazi na inachukua muda gani mimi kuwapata toka nimetoa order? Na wanakuja wakiwa na umri gani?
Mkuu kichwa habari za kazi
Mimi nataka kujua kwa mfano nataka niwe napata mayai ya kuingiza kwenye incubator yangu kama 1000 kila wiki inabidi niwe na kuku wazazi kiasi gani??
Mkuu kichwa mbovu, kama hapa Tanzania siwezi kupata kuku wazazi kwa ajili ya broilers. Je, naweza kupata mayai kwa ajili ya kuyatotolesha hayo hayo ya broilers kwa hapa Tanzania?
Duh yani sijui kwanini mmeamua kuacha akili zenu pembeni huu mgomo una miezu saba sasa ndio leo mnatuambia eti chadema ndio wanachochea huu mgomo, hebu boresheni huduma za afya halafu tuone kama hao madaktari watagoma. punguzeni upuuzi kidogo...
Mkuu umetoa tahadhari kwenye kila kitu kuanzia watu wasimkaribie mpaka madaktari mbona na dawa umesahau???, maana kumbuka hizo dawa wanazompa zinatoka MSD, je madaktari hawatakiwi kuwa makini na hizo dawa pia maana wanaweza kumpa sumu wao wakidhani dawa...ni angalizo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.