Ni jukumu la Bwana Joshua Nassari na CHADEMA kuyashitaki hayo magazeti kwa kuandika habari za uongo ambazo zina athiri CHADEMA na Mbunge mwenyewe.
CHADEMA siku zote kimekuwa kikishutumiwa kwamba ni chama cha wafanya fujo. Iwapo Nassari na CHADEMA watakaa kimya, watu wa nje ya eneo la tukio na...
Maggid,
Kila siku unapoamua kurusha makombora kwa chama chako pendwa, huwa unapenda sana kutumia lugha ya mafumbo ambayo wakati mwingine wahusika huwa hawawezi kuambua kitu.
Lakini kukiwa na swala ambalo linavihusu vyama fulani, huwa hutumii lugha ya mafumbo, bali huwa unapopoa kwa kutumia...
Iwapo hela iliyopo inafisadiwa huku akiwa anaangalia, je, akipata hiyo revenue ya dollar billion moja ataweza kuitumia productively?
Iwapo natural resources tulizo nazo zimeshindwa kutusaidia kupanua wigo wa kodi, je, hizo dollar billion moja zitatokana na nini?
Hela ya misaada na mikopo...
Ku-deal na Shibuda ni rahisi sana, viongozi wa CHADEMA hawatakiwi kuumiza kichwa. Dawa yake ni kum-ignore.
Viongozi wa CHADEMA wakianza kujibizana na Shibuda atawatoa kwenye hoja za msingi na hivyo kupoteza focus ya 2015.
Hizo ndio gharama za zoa zoa, maana wakati mwingine unaweza kuzoa hata...
Kuwateua walioshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM au walioshindwa kwenye uchaguzi mkuu, ni matusi kwa wananchi. Haiwezekani wapiga kura wamkatae mgombea halafu bado Rais aone kwamba anafaa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya na huku Rais akijua wazi kwamba Wakuu wa Wilaya ni wana siasa na hivyo kwa...
Mkuu Halisi
Hujatenda haki, hebu malizia hayo mahusiano ili angalau watu tuweze kujua kinachoendelea. Naona maelezo yako yana dalili za ushahidi wa ziada kwamba hapa kuna madudu yalifanyika, Mzee wa Zama za Ukweli na Uwazi katika kufanya Ufisadi, alitoa maelekezo ya MDOMO kwa Balozi kama...
Mkuu FJM,
Ukiona hivyo, hiyo ni dalili tosha kwamba madudu hayo yalikuwa na baraka kutoka juu na kwamba Bwana Nundu alikuwa anaonekana ni kikwazo (mnoko).
Poor Nundu!
Mkuu FJM,
Tumekuwa tukiamini kwamba mawaziri wengi wamekuwa wakiwekwa kwenye wizara ambazo hawana utaalam nazo na ndio maana kumekuwa na madudu mengi. Case ya Mh. Nundu, inaweza kutumika kama proof ya kwamba tatizo sio utaalaam wa mawaziri, bali ni mfumo mzima.
Nikisema mfumo, ninaongelea...
Siasa za CCM ni tamu sana, mpaka zinatia raha ... yaani we acha tu!
Lowassa aliposusa alisema ameonewa na wabaya wake na kwamba walikuwa wanaitaka nafasi ya PM ... akawaachia!
Dr. Msabaha alisema yeye ni Bangusilo meaning "kondoo wa kafara", lakini hakumtaja mtoa kafara ni nani.
Bwana Karamagi...
Hizo ni post za makada wa CCM. Ndio maana wabunge wa CCM walipiga kelele sana kitendo cha kuwaondoa wakuu wa wilaya kwenye marekebisho ya sheria ya kuandika katiba.
Mkuu uwe makini na majina ya watu, anaitwa Betty Machangu. Inawezekana Mkuu wa Kaya kampunguzia kazi, maana nakumbuka aligombe Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM.
Wakati mwingine ni matatizo ya kuendekeza njaa za kisiasa. Dr. Kadeghe aligombea kuteuliwa kupitia CCM huko Same (I guess ni Same Mashariki kwa Mama Killango). Lengo la Kadeghe lilikuwa kubwa, he thought kwamba angeweza kuteuliwa kuwa waziri mara baada ya kuingia mjengoni. Bahati mbaya hakupita...
Pasco,
Nimeangalia kwa haraka haraka nimeona wana tasnia ya habari wako kama watano hivi, nikiongeza na wale walioteuliwa awamu iliyopita, ninapata mashaka kwamba kuna political corruption ndani ya sekta ya habari na hasa kwenye awamu hii ya JK. Huu ni mfumo mpya wa bahasha za khaki.
Jina lako...
Wana recycle kwa kuwa "mwenzao" anakuwa ameangukia pua na hivyo wanatafuta namna ya kumpoza ili aweze kusonga mbele na maisha.
Kumteua mbunge kuwa Mkuu wa Mkoa/Wilaya, huu ni ubadhirifu. Moja, ataendelea kulipwa posho zote za Mbunge na haswa mafuta, wakati tukijua wazi kwamba anatumia gari la...
Huwezi kujifunza kutoka kwa Libya na Egypt.
Funzo kwa watanzania linatakiwa litoke kwa nchi za Afrika ambako angalau tayari kulikuwa na demokrasia na siyo kutoka kwa total dictatorship ya waarabu ambao walikuwa hawajui hata vyama vingi ni nini. Ni sawa na uanze kutuletea stori za Iraq, Libya na...
Nape,
Kama wewe Katibu Mwenezi unakuja na hoja hii mufilisi, basi CCM is dead. Hapa naona unafananisha Chenza na Limau, yote ni jamii moja lakini yana tofauti kubwa sana.
Kwanini hufananishi na Zambia, Malawi au Kenya?
Mfano wako wa Misri na Libya uko nje ya mstari kwa sababu zifuatazo:
1...
Maxence Melo Hongera kwa kupata mtoto ... Mungu akujaalie hekima zaidi wewe pamoja na mama mtoto ili muweze kumtunza vyema mtoto wenu.
Birthday yako, tutakutakia mema kesho, ila kwa sasa ngoja tupongeze ujio wa kijana!
NB: Una deni ambalo siwezi kuliandika hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.