Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua.
Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
Sijui una umri gani mkuu?
Kwani kuwa mwanajeshi ndio hauwezi kuuwawa?
Mbona wanajeshi wa Israel waliuwawa wengi sana kule Gaza na Lebanon?
Mbona wanajeshi wa Russia wanauwawa katika vita vyao na Ukraine, lakini bado wanatoa kipondo kwa Ukraine?
Mbona hata wanajeshi wa Marekani waliuwawa kule...
Diplomasia haiendeshwi kienyeji hivyo mkuu.
Hata Marekani na washirika wake pamoja na kuumizwa na kile kinachofanywa huko Ukraine lakini hawajaingia vitani kuitwanga Russia.
So kwanini sisi tufanye hivyo wakati wakongoman wenyewe wapo busy na kina Kofii Olomide?
Gen Mwamunyange ndio alieliongezea jeshi letu ubora, uwezo wa kijeshi na heshima kupitia operation mbali mbali za jeshi zilizofanyika chini ya uongozi wake.
M23 na wale waliotaka kumpindua Ngurunziza kule Burundi wanamfahamu vizuri alivyotibua mipango yao.
Mkuu wewe nafikiri sio mfuatiliaji wa mambo ya kimataifa. Ni kwamba njia ya kuelekea Rwanda, Congo na Burundi ina watu wengi wenye tija kuliko njia ya kuelekea Zambia na Malawi. Ni kwa sababu wewe haujawahi kufuatilia nchi ambazo zimekuwa zikitumia zaidi bandari yetu.
Halaf kingine Zambia ni...
Mkuu acha kwanza mihemko ili uwe na muda wa kusoma vizuri kilichoandikwa, uwe na muda mzuri pia wa kutafakari unachoandika. Na zaidi uwe na muda mzuri wa ku comment bila kupindisha pindisha mada husika.
Mimi nimezungumzia wanyarwanda ambao walikuwa hawana vibali na sio wale wenye vibali. Halaf...
Hawana ujanja wa kututwanga.
, maana silaha zao zote wanazopitisha bandarini tunazijua vizuri. Hivyo hawana ujanja wa kututisha kupitia silaha hizo.
Ndomaana Kikwete kipindi kile cha kutaka kuingia nao vitani, alipoenda pale Kagera katika sherehe za kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki katika...
Oh hapo nimekuelewa mkuu. Lakini kumbuka katika huo ujenzi Rwanda pia imekubali kuchangia, wakati Zambia haijatoa mchango wowote ili reli iweze kufika kwao.
Mpaka leo TAZARA imekwama kwa sababu ya kukosa maelewano mazuri kuhusu namna ya kuijenga upya reli ya TAZARA.
Lakini Rwanda linapokuja...
Mkuu mbona haueleweki.. Mara useme soko la Congo kubwa kuliko la Rwanda, mara umlaumu raisi kwa vifo vya askari wawili ambao wametumwa kulinda hilo soko kubwa la Congo lisichukuliwe lote.
Sasa hapo point yako ni nini?
Kuwarudisha nyumban askari unaosema wanakufa ili hilo soko kubwa la Congo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.