Kwanza nimegundua hakuna watu wanaokufwatilia kama ma X wako .
Mwanamke anaweza akawa yeye ndio kataka mvunje mahusiano halafu ikitokea ameona umevuta chombo kipya anapata homa na maneno mengi utayasikia kutoka kwa watu wake wa karibu
Ni aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake .
Mwanaume aliyekamilika hawezi kukubali watu wengine wamlelee watoto wake wakati yeye yupo hai , that is...
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii .
Wafanyabishara huwa wanatumika kama Donors ku sponsor kampeni za kisiasa kuongeza nguvu ya fedha , matajiri huwa...
Ukiwa mfanyabishara Afrika /Tanzania kaa mbali sana makundi ya kisiasa usioneshe kufungumana na upande wa chama chochote au mtu yeyote .
Nchi zetu hizi za kiafrika bado utawala wa kidemokrasia haujakomaa kama nchi za wenzetu ambazo unaweza hata ukawa mfanyabishara wa makampuni mbali mbali na...
Kufahamika kwa Kenya sio kigezo kwamba ndio wapo ahead yetu sisi, hata Haiti inafahamika kuliko South Africa , lakini ni kati ya nchi maskini kupita maelezo , zingatia the world nowadays is so much open , we have access of alot of information bila hata kuzunguka , kutokana na kukua kwa...
Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ.
Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi, entertainment na maeneo mengine mengi nikitaja hapa page hii haitotosha.
Ukitaka utambue ujanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.