Hakuna uwezekano WhatsApp ipo end-to-end encrypted. Njia pekee ya kupata msg/call za whatsapp ni kuwa na full control ya moja ya simu zinazohusika katika mawasiliano.
Hizo ni msg za (DCB) Direct Carrier Billing ni njia ya kufanya malipo moja kwa moja kupitia account/balance yako ya simu, so hapo kuna kitu kinataka kula balance yako.
So kutakuwa kuna malware umeinstall kwa chance kubwa, kama umeinstall app yoyote ambayo haijatoka playstore yaani umetumia apk...
Na tatizo jingine ni kuwa TZ ni soko dogo sana kwa hizi kampuni, ni rahisi kuiblock bila kuingia hasara, nina uhakika kuna matatizo makubwa zaidi kutoka nchi kama US kwa idadi tu ya watu ila kamwe hauwezi kuiblock US maana biashara nyingi inapatikana huko.
Ni uzembe wa aina fulani kati ya serikali, ISPs wetu na watanzania kwa kiasi fulani.
Kuna malware, bots na "residential proxy" nyingi TZ ambazo hazichukuliwi hatua kuziblock.
Pia nina wasiwasi simu na device mbalimbali za "kichina" zinakuja na malware tosha ndani yake.
Picha kwa kiasi fulani inawezekana, sauti hapana. Sauri haiwezi kusafiri kwenye space kwa vile kuna vacuum so hata wangeweza kusikilixs kwa umbali huo kutoka space isingewezekana.
Raisi Trump alitweet picha za siri kwa "bahati mbaya" zinazoonyesha uwezo wa satelite za siri za US. Unaweza kuona...
Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni
Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy Ace 3, Galaxy S4 Mini
Motorola: Moto G (1st Gen), Razr HD, Moto E 2014
HTC: One X, One X+, Desire 500...
Ina weza kuwa kitu chcochote, simu ya wizi, mkopo, IMEI iko blocked, rooting imeenda vibaya, simu ya kampuni etc. Ni kurudisha tu ulikutoa au kuuza kama spare parts.
Hakuna kitu kama best language, ila ningekushauri ujifunze TypeScript au JavaScript kwa kuwa unaweza kufanya karibia kila kitu, mobile (ReactNative), desktop (Electron), web na backend(Node). Unaweza ukaanza hapa then tafuta ya TypeScript.
https://www.youtube.com/watch?v=2qDywOS7VAc
Hiyo TV na simu zinatumia wifi network moja na network ya nyumbani sio ofisini? Pia hakikisha TV umefanya update yakishindikana hayo jaribu simu tofauti hasa Samsung na Swart View.
Kwanza hakikisha kama hiyo router kweli inasupport network ya voda. Frequency za Voda hizi https://www.frequencycheck.com/carriers/vodacom-tanzania fananisha na device yako.
Settings ziko kama hivi au tafuta simu yenye voda copy apn settings
APN name: internet
Username:
Password:
PDP Type: IP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.