Kwani wewe unafikiri ameyasema tu bila ridhaa ya mtu fulani mkubwa? Wakati akiyasema hayo hukumuona huyo mtu fulani mkubwa kama anatoa tabasamu bashasha? We ni bumunda tu. Hata siasa zenu za CCM huzijui
Nchi ya kipumbavu sana. Halafu utakuta viongozi wanaofanya huu upumbavu leo wapo misikitini na kesho/keshokutwa wamejaa makanisani. Umbwa kabisa. Acha Trump atubane labda tutapata akili ya kuwang'oa.
Kudos kwa Trump. Haya mambo yalipaswa kufanyika tangu miaka mingi, sasa tungekuwa na akili. Utasaidiaje watu wenye hela nyingi mpaka wanaweza kulipa millions kwa kila goli linalofungwa kwenye mechi ya mpira?
Kiama gan wakati asilimia kubwa ya hela ya misaada inaishia mifukoni mwa viongozi. Nashangaa kuendelea kutupa misaada huku wakijua hela zao zinaliwa. Na mataifa mengine makubwa yafuate mfano wa Trump.
Mwanzoni nilimlauku Lissu lakini sasa hivi namshukuru sana. Yaani tumekuwa tunauziwa mbuzi kwenye gunia miaka yote hii....watanzania ni walewale, ccm kama chadema na chadema kama ccm. Labda kizazi hiki kifutike. Tusake tonge bandugu
Ndiyo maana nimesema uzoefu wangu kwa kampuni za private nilizopita...mfano wa range; utakuta grade B mshahara wake unaanzia 1M mpaka 1.5M so watu wa grade 1 wanaweza wakawa na mishahara iliyopishana kidogo
Navyojua mimi hata grade za mishahara zina range, yaani unakuta ni grade moja lakini ina mshahara wa chini mpaka wa juu.... so siyo laIma mishahara ifanane mkiwa level moja....hii nimeona sana kwenye makampuni ya private....sina uzoefu serikalini
Nakuchukia sana na mabandiko yako ya kichawa ila kwa usawa huu CCM haina mpinzani. Mfupa uliomtoa jasho Magufuli naona Samia kaumumunya tu ukayeyuka. CDM now iko vipande vipande na haitakaa sawa kwa muda mrefu baada ya uchaguzi wa ndani. Ila ni jambo jema wameonyesha rangi zao halisi now.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.