Search results

  1. mfianchi

    Pre GE2025 Bila kura za Kanda ya Ziwa, CCM inaweza kubaki madarakani?

    Mkuu ndio maana mnafeli mitihani kwa kutoelewa kilichoandikwa, wapi pameandikwa Magufuli ndie aliyemtengeneza huyo unayemsema? rudia tena kusoma ndio utajua aliyeandika anamaanisha mtu huyo uliyemuandika na sio Magu! Unakurupuka na mambo ya ukabila wakati hata andiko hujalielewa.
  2. mfianchi

    Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia

    Kiko wapi huyu ni dikteta kuliko hata dikteta Mussolini
  3. mfianchi

    Pre GE2025 Mnyika ataja majina ya watakaosimamia mikutano ya kitaifa ya uchaguzi wa CHADEMA

    Hah hah hawa wote ni team Mbowe, wengi wao nawafahamu kindakindaki, hii Chagga Development Manifesto itabaki mali ya Dj Kim Il Sung, mwenyekiti wa maisha.
  4. mfianchi

    TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    Kwani kuugua UKIMWI ni dhambi sijui kwanini watu mnaogopa kusema marehemu kafa kwa UKIMWI? Raisi Kaunda na Mandela waliwahi kutangaza kuwa watoto wao wamekufa kwa UKIMWI, kusema mtu kafa kwa UKIMWI si dhambi na kifo kipo tu hata ukisema au usiseme kuhusu Ukimwi siku ikifika utaondoka tu. Kuogopa...
  5. mfianchi

    TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

    Hawa wengi wao elimu zao za magumashi sema tu wanabebwa na ma Godfather wao wengi wao wamesoma hapo IFM, diploma za Banking wakawa chawa wa maMD waliokuwepo enzi hizo na kukabidhiwa vijiti vya u CEO, utaona mtoa CV hajaandika shule na vyuo alivyosoma, wapo wengi kwenye taasisi za kifedha hasa benki.
  6. mfianchi

    Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Mwenyewe nilikuwa naenda USA enzi za Trump utadhani naenda Kibaha,hakukuwa na shida yoyote baadae ikaingia Corona ndio nikaacha kwenda, panapo uhai mwakani natia tena timu USA.
  7. mfianchi

    Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

    Kaka unajidanganya tu, wenzako hawatumii au kuweka benki hizo pesa zetu za madafu, wenzako wanatamba na USD$, hizo pesa za madafu ni za mboga na kuwanunulia nyama choma wajumbe,kwa hiyo hawaathiriki kwa lolote,pia wenzako wana akauti zao ughaibuni, tena akaunti za USD$.
  8. mfianchi

    Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

    Kwenda Staten ni ferry boat ya bure, zina rangi ya njano,ukiwa Brooklyn bridge na Statue Of Liberty unaziona zileee, Queens ndio nyumbani asilia ya mwamba Trump
  9. mfianchi

    Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

    Mkuu acha porojo New York ndio jimbo lenye uchumi mkubwa zaidi Marekani na tukisema Marekani basi ni duniani
  10. mfianchi

    Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

    Miaka ya nyuma Alaska ilikuwa Urusi,miaka ya nyuma Marekani ililinunua jimbo hilo kutoka Urusi na hata waziri wa fedha wa marekani wa miaka hiyo alilaumiwa sana kwa uamuzi wa kutoa pesa kununua jimbo hilo na wananchi wa Marekani, lakini baadae uamuzi huo umeinufaisha Marekani kwani Alaska ina...
  11. mfianchi

    Tuliambiwa Magufuli ni dikteta; Kulikoni Samia "Mama wa Demokrasia"?

    Sasa kama dola ni mfumo kwanini mlimlaumu Magufuli badala ya kulaumu mfumo?
  12. mfianchi

    Serikali imwangalie Prof. Assad isimwache ateseke hivi. Huyu jamaa hayupo sawa

    Sasa analia lia nini kama hana njaa, yeye alimfukuza dereva aliyekataa kupanga mafaili bila sababu za msingi,wacha apate ukichaa kwa kulialia kila kuchwao, maisha si lazima uajiriwe, kuna lundo la watu wameachishwa kazi zao na hatuwasikii kulialia mitandaoni.
  13. mfianchi

    Kama ulianza kutumia Internet mapema miaka ya 1990 na 2000 njoo hapa tukumbushane Internet Cafe tulizoenda, Vimbwanga, Kero na Kumbukumbu

    Sea boyz Magomeni, Kariakoo karibu na msikiti wa Manyema, Morogoro rd karibu na kituo cha mafuta opp na Mtendeni Pr Schoo, Posta Kisutu na mwisho kabisa Stambuli Cafe millenium tower Makumbusho. Nyingi ya hizi cafe zilimilikiwa ama na wahindi au waarabu. Mimi nilijifunzia kompyuta kitambo sana...
  14. mfianchi

    Ukiachana na Jenister muhagama kuna huyu George Mkuchika

    H Huyu comrade sijui huwa anaongea na nani kwa maana wenzake na marafiki zake karibu wote washatangulia mbele za haki, labda waliobaki ni mzee mwenzake mlamba asali, BT, na bwana tembo na hawa wote wamestaafu japo wengine ni wastaafu wasiotaka kustaafu!
  15. mfianchi

    Ukiachana na Jenister muhagama kuna huyu George Mkuchika

    Kule kwenye jimb Kule jimboni kwake ana chawa kibao si ajabu anapita bila kupingwa.
  16. mfianchi

    Ajira za bara tunaomba wote, lakini za Zanzibar wanataka Mzanzibar pekee

    Hawa mabapa Hawa mabapa wanapendelewa sana, halafu walioko serikalini huku bara wana viburi na dharau sana, wengi wapo pale Tamisemi.
  17. mfianchi

    Simiyu: Ndugu wa damu wahukumiwa Miaka 20 jela kwa kosa la kuzini na kuishi kama Mume na Mke

    Wameonewa tu, mbona waarabu na hata wahindi wanaona wao kwa wao na hatujasikia wamefungwa, hili neno ndugu wa damu maana yake ni nini?
  18. mfianchi

    Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

    Waliokuwa wanasoma shule private ni wale waliofeli mitihani ya kuingia kidato cha kwanza na kidato cha tano, enzi hizo walikuwa takataka, wengi wao walikimbilia shule za seminari, pale Mbeya tulikuwa na Sangu Secondary School, na Darisalama palikuwa na Kinondoni Muslim, kule Kilimanjaro boys'...
  19. mfianchi

    Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Mkuu mbona unaandika uongo, kwa taarifa yaks huyo kiongozi wa Hamas hakuvamiwa wala kushambuliwa na waty,aliuwawa kwa bomu giliotegwa chumbani mwaka miała miwili iliyopita, kosa alilolifanya mheshimiwa marehemu ni kawa anafikia sememu hoyo hoyo mara ajapo Tehrani, Mossad kwa kutumia waty wa...
  20. mfianchi

    Pre GE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    Mama yake ni Mhaya, na baba take anaishi Tegeta kule Bumbuli ni kama kesha hama.
Back
Top Bottom