Siku mpige suprise kwake omba gemu,angalia atakapo toa huo mtandio,utakuta na zile tshirt zote kazikusanya sehemu moja na kuzifunika,ka begi hiv,box,trunk,shangazi kaja etc,lakini sio sehemu ya wazi...,kuna mwanajeshi 1,Daaah nouma sana...Cheyo Tabora alikimbia kambi akahamia shambani kwa demu...
Yaani la kwanza kabisa mteme,huo ni uchawi wa kinyamwezi na huo ukanda maeneo yanoyo zunguka,Mwanangu mmoja aliteseka sana karibia ajiue,sumu ya panya ilikua chini ya siti ya gari..kuongea kama hivi kwa wadau ndo akajua tatizo lipo wapi akaanza recall matukio ndo kugundua wa kwake anaweka kwenye...
Pole,mambo ya ulonzi hayo...kinachofatia utakua usimamishi uume ukiwa na mwanamke mwingine tofauti na yeye...from experience...,kujinasua sasa ni kasheshe
Watoto wa ndani ya ndoa na wa nje ya ndoa wote ni sawa,aliezaa na mume wa mtu na hakuolewa hana mamlaka,ni kimada tuu aliyezaa(hata kama watoto 5),mgao wa watoto wao ndo sehemu ya ufaidikaji wa mama yao
Ukosee ufanyiwe kama yule dogo wa Picha ya No.1?,joke.
Wapo wengi tuu mkuu..
Iwekwe challenge ya picha za viongozi wote wa nchi waliopita na wa sasa na mshindi apate zawadi nono uone
Kuna mwamba anatengeneza watu na wanyama kwa kuunga unga vipande vya chuma ni hatari.
I wish ningekua na kazi...
Ina faida kwake kama utaliwaza ki undani,
1.Baada ya miaka 3 atakua ameiva mwenye biashara( atakuja elewa faida ya msingi huu aki staafu)
2.Baada ya kumaliza mkopo atakua na saving (400,000) + Faida katika biashara(380,000/kwa anachopata leo)
3.Biashara inaleta uzoefu wa maadili ya pesa(ataiva...
Nlinunua LG og 2010,42'' mpaka leo 09/2024 iko piru inapiga kazi haina hata scratch.
Nnachoweza kusema ni utunzaji tuu,pamoja na umeme wa Tanesco yetu mara huooo mara tayari wamechukua ila bado iko imara,sijawahi ihamisha kwenye meza yake nlipo iweka,ikiguswa ni usafi tuu.
Nakusoma vizuri sana,
Swali lingine,nna kitu nimeweza kukigundua kwa muda mrefu sasa,nikipanga jambo kwa umakini sana na lenye tija napofikia kulianza tuu either linaharibika,au haliendi kwenye mafanikio,au linakufa kabisa,ama litaenda tararibu sana kwa case ya vitu vya maendeleo(kutoka...
Wake up broh,sasa hapo si wamekuwekea namba ya kupiga?,piga usitishe haraka huo muhamala.,
Huko alipo ingia kuna sehemu ya ku unsubscribe,fata maelekezo ujitoe.
Piga stop mama kushika cm yako,ukiweza mpeleke English course.
Pia,si kuoa tuu ili mradi,wanawake wengine IQ 0,wanaweza leta majanga...
Jiulize swali jepesi hapo,alitoa wapi mtaji wa kufungua maduka aliyofunga kwa sasa?,
what if kama anawekeza sehemu nyingine kwa vitu visivyo hamishika?,
vipi kama ana makampuni zaidi ya hiyo unayofahamu na ndo inaleta mkwanja mzuri zaidi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.