Mtu mwenye tabia ya kuomba omba pesa bila sababu ya msingi ni livivu, usimpe mnyime labda Kama anakukuna vizuri, inaweza kuwa sababu hata tukushauri vp huwezi kumnyima.
Lah Kama sivyo, mnyime tu, ni haki yako kutoa ama kutokutoa
Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri
Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano.
Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.