Search results

  1. Career Mastery Hub

    TELL ME ABOUT YOURSELF IN TEACHING INTERVIEW

    TELL ME ABOUT YOURSELF - Introduction Formula Haya, kama kawaida yangu, sitaki ujiingize kwenye njia ya kujikokota na kujitambusha. Badala yake, nitakupa njia itakayokusaidia kutoa majibu sahihi kwa swali hili na kuwa na uhakika na kile unachosema. Kama unataka kujitambulisha katika usaili...
  2. Career Mastery Hub

    WALIMU JUA NAMNA YA KUJITAMBULISHA: *TELL US ABOUT YOUR PERSONAL, EDUCATIONAL, AND PROFESSIONAL BACKGROUND*

    Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃, Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping you be logical without memorizing too much. It’s not about quantity but about how your answer aligns...
  3. Career Mastery Hub

    Mambo ya msingi kabla ya kwenda usaili wa WALIMU sekretarate ya Ajira mwaka 2025

    Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced educator, there are key elements that you need to understand. In this guide, we’ll walk you through...
  4. Career Mastery Hub

    MASWALI YA KUJIPIMA NA USAILI ENGLISH TEACHERS TANZANIA

    ENGLISH TEACHERS TANZANIA As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test , it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed. As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
  5. Career Mastery Hub

    YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION USAILI KADA YA ELIMU , TYPE OF APTITUDE TEST USED TO FIND QUALIFED TEACHERS

    YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION FO MATERIALS Click the Link Below to Get the Complete Guide for Free in Your Email: 👇👇👇👇👇👇👇 https://docs.google.com/document/d/1foJQ2GghLGSldEkj3DjdTMNeHv4fbHST4Waw0yf6BdM/edit?usp=drivesdk JOIN OUR CHANEL 👇👇👇👇👇👇...
  6. Career Mastery Hub

    Your Complete Guide to Excelling in the Utimishi Teaching Interview Exam(Oral Interview and Aptitude Test)

    Habari Wana JF! Je, wewe ni mmoja wa walimu unaejiandaa kwa usaili wa mchujo (Written Aptitude Test) au Oral Interview sekretarate Ya AJIRA na umekuwa ukijiuliza uanzie wapi au material gani ya kusoma na kufanyia mazoezi? Hapa ndiyo ulipo! Hapa tunakuletea vifaa bora na maswali ya mazoezi...
  7. Career Mastery Hub

    MASWALA YA USAILI WALIMU : ANGALI SAMPLE YA MTIHANI KWENYE UJUMBE HUHU KUJIPIMA UWEZO BINAFSI KUELEKEA APTITUDE TEST

    MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha "possible." Maswali Haya ni ya Jumla Hata hivyo, ili kupata majibu na msaada mwingine wa mentorship...
  8. Career Mastery Hub

    Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  9. Career Mastery Hub

    Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  10. Career Mastery Hub

    GOOD NEWS: Usafiri na Uhakika kwa waagiza na wauzaji wa mizigo ya kimataifa

    Habari Mr, Ningekushauri kuwa, kwa kununua TV moja, ni bora ununue hapa Tanzania, hasa kama ni brand ya Hisense mpya. Hii ni kwa sababu ununuzi na usafirishaji wa TV moja kutoka nje utagharimu sana na kuongeza riski. Hii ni kutokana na mambo kama: 1. Gharama za Usafirishaji: Usafirishaji wa TV...
  11. Career Mastery Hub

    GOOD NEWS: Usafiri na Uhakika kwa waagiza na wauzaji wa mizigo ya kimataifa

    🌍 GOOD NEWS: USAFIRI NA UHAKIKA KWA WAAGIZA NA WAUZAJI WA MIZIGO YA KIMATAIFA 🌍 255626201416 Unataka kuagiza mizigo kutoka China 🇨🇳 au kuuza bidhaa za Kitanzania nje ya nchi 🌏? Faidika na huduma zetu za kipekee: 🛡️ Lipa Baada ya Kupokea Mzigo Tunamlipa supplier wako baada ya mzigo kufika...
  12. Career Mastery Hub

    Naomba kujuzwa fursa za kujiajiri kwa Mhitimu wa chuo fani ya Computer Science

    Nikweli, kama mimi am so in need of computer scientist hapa kila siku natafuta in fouder dating platforms
  13. Career Mastery Hub

    Naomba kujuzwa fursa za kujiajiri kwa Mhitimu wa chuo fani ya Computer Science

    Nakuhitaji tujiajili kama kuna application unaweza Fanya.
  14. Career Mastery Hub

    Tunatafuta ubc aluminum scrap kwa usambazaji wa kuaminika kwa ajili ya usafirishaji kwenda Thailand

    Habari wana forums, Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi. Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
  15. Career Mastery Hub

    Fursa ya Kushirikiana kwa Kuunganisha Bidhaa Zako na Masoko ya Kimataifa

    Fursa ya Kushirikiana kwa Kuunganisha Bidhaa Zako na Masoko ya Kimataifa Je, unayo bidhaa nzuri au mtandao wa bidhaa ambao ungependa kufikisha kwenye masoko ya kimataifa lakini unakosa wateja wa kuaminika? Naomba tushirikiane, kwani nitaweza kusaidia kwa: 1. Kuwafikia Wateja Wenye Mahitaji ya...
  16. Career Mastery Hub

    Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Soma kichwa cha uzi . hata mimi najua wanajua ila wapo watu wengi hasa wafanya biashara wa kati wanahamasishwa kununua na kutafuta vitu china bila kua na prior Intelligence kama uliyo nayo wewe. na wengine utumia watu ambao they don't tell them the truth kua wataletewa bidhaa copy au ualisia wa...
  17. Career Mastery Hub

    Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
Back
Top Bottom