Hivi hii ishu hairuhusiwi kuhusishwa wanafamilia? Ili kutoa ukakasi katika kukamata na kuchimba biti hawa wanaosambaza uvumi huu kiuhalali angalau msemaji wa familia atusaidie kukanusha kama yeye mwenyewe hawezi.
Naota tu....
Hio ya BVR fake mie siielewi.... hv nani alete BVR feki bure.... kwa faida gani hasa? Au siku hizi uandikishaji watu imekuwa biashara?
Hakuna BVR feki zipo BVR halisi.... zilizoletwa na kutolewa na serikali ambazo zimetolewa ki 'feki' ili kufanya kazi maalumu ya ku'feki' matokeo ya uchaguzi...
Angalau huyu anayetumia dk 7 ninaelewa ujumbe wake ila huyu anayegeuza jukwaa la siasa kuwa gym na jukwaa la mipasho kwa masaa zaidi ya mawili.... sera zake na ahadi zake lukuki sijaelewa hata moja zaidi ya kufurahia fiesta ya bure.
Na kama kipindi kile waliona kuwa kujiuzuru ni adhabu stahiki iweje leo waitengue na kuona kuwa haifai? Kwa nini hawakumpeleka mahakamani kipindi kile au kwa kuwa alikuwa mwanafamilia??
Hizi hoja nyepesi zinachosha.... hivi hao unaowaona wazima huwa unakesha nao? Unajuaje kama ni wazima??... khaa wote tu marehemu watarajiwa.... either kwa ajali, malaria, kifaduro n.k.
Sisemei UKIMWI coz huo una booster watu wanaishi mpaka 20 yrs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.