Tumsamehe bure huyu jamaa, kwa jinsi alivyoitaja hiyo mitaa ni ama amehadithiwa au alipita tu barabarani kwa bus/gari ndogo kwa hiyo hicho alichokiona na ana tumia kuhukumu hapa ni kile aliona pembezoni mwa barabara na sio Mwanza halisi!
Mkuu unatoka Nyamnhongoro Stand kwenye Nyegezi, kama unaijua Mwanza vizuri, Nyakabungo imeingiaje hapo, na kwa kujiamini kabisa unasema Nyakabungo iko mjini kati! Mwanza ipi hiyo?
Mkuu tatizo liko kwa pande zote mbili, Ahmed Ally hawezi fanya interview yoyote bila kuinanga Yanga, hivyo hivyo kwa Ally Kamwe, timu zote zimekuwa na utamaduni wa kunangana. Unasema Simba hawajawahi kuwacheka Yanga kwa kukaa miaka 25 bila kuingia makundi champions league, dah labda ulikuwa...
Ukisha kubaliana na hili basi pia ukubaliane na sayansi juu ya uumbikaji wa binadamu kuwa ana share ancestor na chimpanzee na sio anatokana na uumbikaji wa Adam!
Hii ni part ya abnormal behaviour hasa kwa pet animal kama mbwa, ni "aggressive behaviour" hii husababisha na mambo mengi, na ni tatizo kama matatizo ya ugonjwa mwingine, ili kusaidia zaidi ni vizuri pia kujua historia ya mbwa mwenyewe, lakini mara nyingi mbwa kuwa aggressive kwa owner au...
Sijakuambia kuwa Animalia na Plantae sio Kingdom, yes ni mojawapo katika 5 Kingdoms of Life, branches za Biolojia ni Zoology (ikihusika na wanyama na ndio maana niliandika "Animals" na sio Animalia) na Botany (ikihusika na mimea, na ndio maana niliandika "Plants" na sio plantae!
Sina hakika umesoma lini, lakini tokea sayansi ya biolojia imeanza, Kingdom (makundi ya viumbe yako) matano! hizo mbili unazosema ni matawi (branches) ya Biolojia yaani Botany (Plants) na Zoology (Animals)
Kwa maana halisi ya neno ajira... "Ajira (kutoka neno la Kiarabu) ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi." Kwa maana hii hutoona hizo boda huko China na Vietnam
Hahahaha hiyo ndio faida ya kujenga vyoo ndani ya nyumba (wenyewe twaita Master bedroom), ungejenga choo nje ya nyumba walaaa hii kero isingekukuta, pole bro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.