Wana shule zina majina yao mama salama kikwete sec skuli..yusuph makamba sec..bora hata zenji kuna majina asili Dole skuli..makunduchi skuli..kitopeni skuli.. manake haya majina ya wanasiasa hayana lolote la maana
Naweza kuhisi kuna namna hapo, kumbuka pia inatokeaga makosa watoto wakachanganyiwa wazazi tokea hospitali hivyo unaweza kuta Huyo sio mama yake its very confusion.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.