Kama kawaida niwapo safarini napata fursa ya kujisemeza (talking to myself) kama njia ya kuzianika fikra zangu.Natambua pia kwamba zipo topics ambazo zimejengewa kingo kifikra kwamba hazipaswi "kuguswa" na kwamba yule anayezigusa hata kama anajisemeza mwenyewe basi atakuwa "anatumiwa" na upande...
Isangula KG
Imekuwa kawaida yangu nipatapo fursa kidogo najaribu kutafakari mambo kadhaa yanayogusa Nchi yetu ama dunia kwa ujumla. Japo wasomaji wanaweza kujikuta wananufaika kwa busara hizi, kimsingi lengo kuu huwa ni *kutafakari kwa njia ya kujisemea mwenyewe* ama *talking to myself* kama...
(TAKWIMU ZA UFAULU KIDATO CHA NNE (2015) ZINATOA TASWIRA GANI?)
Isangula KG
Hebu twendwe pamoja hapa.
Kulingana na taarifa kwenye Gazeti la Mwananchi zikimnukuu George Simbachawene;
1. Jumla ya Wanafunzi 393,734 (Wasichana 200,919; Wavulana 192,815 ) walifanya mtihani wa kuhitimu Kidato cha...
Kama ilivyo kawaida yangu nipatapo muda kidogo nakuja kujisemea (talking to myself) hapa kwenye ukuta wangu.
Hivi karibuni nimeona video ya mchungaji mmoja akielezea umuhimu wa vijana waishio mjini kuwakumbuka 'wazazi' wao ambao wengi huishi vijijini. Wakati nakubaliana na hoja kuu kwa ujumla...
Katika mchezo wa mpira wa Miguu timu pinzani inapopungukiwa wachezaji uwanjani huleta ahueni kwa mashabiki wa timu ya waliyo wengi. Ipo kasumba kwamba kupungua idadi ya wachezaji uwanjani huidhoofisha timu iliyooungukiwa na kufanya iwe rahisi kuifunga.Hali hii hujenga natarajio chanya kwa...
Sasa na wewe si ungeweka characteristics zako ili MTU afanye "informed" decision maana watu wanazifataga Ulaya kuliko hapo Arusha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makosa makubwa mnayofanya ni KULAUMU CHAMA kwa udhaifu wa WANACHAMA. Kama Nyumba ni CHAFU hilo siyo kosa la Nyumba yenyewe bali waishio humo. Sidhani kuhama chama ni suluhu ya kukisafisha....
Kumbuka unaongelea Bastola kitu ambacho hakijazoeleka sana kwa watanzania. Hapo hata picha zingeungua tu.Tuna wataalamu wa image enhancement, wakiamua sura halisi inapatikana.
NIDHAMU TUNAYOITAKA
Mwezi July Serikali ya Australia iliwapa fursa watafiti 70 katika kituo cha Davis kilochopo eneo la baridi kali katika bara la Antarctica kupiga kura yao mapema kabla uchaguzi wa mwishoni mwa Mwaka.Mbali na kwamba baridi katika eneo hili hufikia hadi nyuzi joto hasi 40...
People have continued to refer to poverty as economic deprivation.While this is true, poverty of thinking, a precursor for the economic poverty, is often overlooked.The Republic of the Poor is about the impoverishment of the thought or you may say poverty of the mind.The book uncovers the power...
Nimeona andiko fulani linalosemekana ni la Yeriko Nyerere akihoji uhalali wa Zabuni ya Chakula MNH na Hoja kuwa kila Kabila lina utamaduni wake wa Chakula. Naomba kwa ufupi sana nitofautine na ndugu yangu huyu kama ifuatavyo;
1. Hoja ya kuwa kila kabila lina utamaduni wake wa Chakula
Hoja hii...
MAFISADI WA VIPATO VYAO
Na Kahabi wa Isangula
Kila ninaposikiliza hotuba za wanasiasa zote zimejikita kutuaminisha kuwa Serikali ndiyo tiba pekee ya matatizo yetu ya maendeleo ya kiuchumi. Kwamba serikali ni tiba ya maendeleo ya uchumi wa mkubwa wa Nchi (macro) na Uchumi wa mtu binafsi ama...
FIKIRISHI ZA NGUMBALU 02:
Baada ya kukupa kisa cha mkulima na sekeseke la Magugu Shambani, leo nakulete kisa kiitwacho Mkenge wa mfotoa picha na Kamera ya Nyumbani.
SASA ENDELEA....
Yule kibarua wa nne aliyeajiriwa na mkulima, mbali na kuwa na sifa ya kutembelea mashamba ya jirani kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.