Sometimes Binadamu Tunalaumu Sana Bila Kuwa Briefed!
Kwenye Vikoba Tu Na Associations Zingine Huwa Kama Hushirikiani Na Wenzio Huwezi Kupewa Huduma Pia Utakapokuwa Mhitaji!
Ibaada Ya Mazishi Ni Huduma Ya Kanisa Kwa Active Member Wa Kanisa! Kama Ulikuwa Huoni Thamani Ya Kanisa Ulipokuwa Hai...
SULUHISHO MUDA MFUPI CONT...
2.Endelea Kumwombe Mwenzi Wako Na Umsemeshe Kwa Upole Hata Kama Unaumia,shetani Hapendi Amani Na Umoja Usually Ndoa Ni Vita Against Temptations And Evils! Usisahau Kuomba Toba Kwa Ajili Yako, Yake Na Familia Yako! Ombea Upendo,umoja Na Usemi Wenu!
3. Hakikisha Umempa...
Mkuu,
Pole Sana Kwa Maswahibu Hayo! Mungu Anasema Njooni Kwangu Ninyi Nyote Msumbukao Na Mizigo Nami Nitawapumzisha! Mungu Ni Mwaminifu Siku Zote, Hata Asipojibu Sawasawa Na Upendavyo Bado Yeye Ni Mwaminifu!
Watu Wengi Wanakwambia Umwache Mkeo,but I Beg To Differ With The Following Reasons!
1...
Pamoja na mimi kuwa sio mtaalam wa Lugha ya kiingereza i bet i can do alot better than that gentleman. Jamaa alikuwa completely out of order , huwezi hata kusema elders badala ya oldmen?[emoji3]
Umeshawahi kulima vitunguu ama unaongea kinadharia.
Normally kitunguu kinachukua siku 45 kutoka kusia kitaluni mpaka kuhamishia shambani then give it 90 days kukupa kiazi cha kuchuma. Jumla unaongelea around 135days from seeding to harvest.
Mkuu Pasco, u dikteta sio jambo la kusifiwa likitoka chama chochote. Nafikiri JPM sio Dikteta , nadhani ameona nchi haina nidhamu ya kazi na wanasiasa pia hawana nidhamu ya sheria wala kazi. Nashauri Raisi ajikite kuwatumikia wananchi ila pia awaruhusu wanasiasa wafanye siasa maana ni kazi yao...
Kama research inaonesha kuwa imani kwa Rais imepungua ni wajibu wa polls hizo kutoka ili Rais ajue watu wangapi wanamuunga mkono na wangapi wanaona priorities alizonazo hazijawagusa. Tuache vyombo viripoti as long as kuna scientific research imefanyika au kuna facts zingine zimehusika. Mi...
Problem yako wewe ni kuwa huna principles za maisha na umezoea uongo na unafiki. Issue kubwa si wewe kuwa na mahusiano na cousin wako bali ni kumpa mtu alee watoto wasio wake,kuharibu maisha ya mwenzio na kuharibu future ya wanao kwa tamaa zako za kijinga. I wish ningekuwa nakufahamu...
Nafikiri utakuwa unaangalia uzee based on your understanding..Angalia life expectancy ya Tanzania na Marekani then utajua wenzetu kwa nini katika umri wa miaka 70+ mtu anaweza kugombea urais.
Kama kuna waziri ama naibu kamsimamisha mtendaji wa chini yake kwa sababu ya utendaji usioridhisha basi na wao wanapaswa kufanyiwa hivyo hivyo.Waziri ndio taswira ya Wizara kama waziri huwezi kuzingatia matakwa ya sheria zote za nchi ina maana utendaji wako wa kazi hauridhishi na unapaswa...
Wakati mwingine kabla hujaweka andiko lako ni vema ukatafakari kile unachoandika kama kinafikisha ujumbe ama kinakufanya tu utimize wajibu wa kuwa na maoni hata kama hayana mantiki.Tumekuwa na Rais wanasiasa wamefanya nini? Kuwa kiongozi wa mahaka ya Tanzania unafikiri haigusi siasa? Tunahitaji...
Kuna kitu hakiko sawa,yamkini kuna mambo hayako sawa. Ndugu EL na wengineo wameonekana wakiwa na shauku kubwa ya kuutaka urais. Hili halipingiki, na kwa kuwa Urais ni kazi ya kiasiasa michezo ya kisiasa lazima iwe sehemu ya njia ya kuupata. Kisichosawa ni kutumia ujinga,umaskini wa wananchi...
Naomba wekeni pia nakala ya Muswada wa Serikali ili tusome na kuchambua yanayotuhusu sisi raia..
Siungi hoja ya kuongeza ulinzi kwa Viongozi. Nafikiri Hoja ya kuleta sheria mpya ya kudhibiti na kumiliki silaha ni kuongeza usalama. Hii itaendana sambamba na kupunguza silaha holela kwa raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.