Mimi naona kinyume chake.. Ushindi halali wa yanga kutokana na maandaluizi yake misimu kadhaa hivi karibuni itaonekana kuwa ni matokeo ya mbeleko.. Kitu ambacho sio sahihi
Nimepata hii Hali ya ngozi kuvimba na muwasho kwambali Kama inavyoonekanakwe ye picha. Hii inaweza kuwa Ni Nini?
Na tiba yake ni nini?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa alipelekwa porini akaambiwa ageukie mlimani then adake kitu chochote kitakacho mjia.ghafla akaona booonge la mjiwe unaporomoka toka juu ya momma huku unavunja miti unabiringika kuja kwake..jamaa akalala mbele..akafeli[emoji23][emoji23][emoji23]. Unaanzaje kuudaka mjiwe mkubwa Kama...
Tatizo wahindi hawajawahi kujiona Ni sehemu ya jamii yetu. Hata ushiriki wao katika masuala ya kijamii acha kisiasa hata katika ngazi ya chini Ni mdogo Sana ( Huwa namshangaa Prof. Issa Shivji Ni muhindi wa namna gani). In short hawajichanganyi
Na angejua nani ameliunda taifa lile na kwa dhumuni gani na naniameshika remote Wala asingeumiza kichwa. Kama wameboresha uhusiano na wazayuni sijui nini kimebaki
Ni mchanganyiko wa mapokeo,historia, theolojia na ujanja ujanja wa kirumi. Yesu hakuacha kanisa linaloitwa la Roma,Na Petro hajawahi kuwa Papa. Ukifuatilia Ni Nani aliyewaua mitumie na wafuasi wa Yesu na kwa amri kutoka kwa nani,Na ukifuatilia Ni lini na ni mtawala gani wa dola ya kirumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.