Hongera sana kwa kupata huu mwamko. Inaitwa Awakening , kuna msemo unasema ni pale tu mwanafunzi anapokua tayari ndipo mkufunzi hutokea. Amini sio tu kwa kupendekezewa vitabu, bali wewe mwenyewe utaanza kukutana na maandiko yatakayokusaidia.
Kwa mimi nina vingi vya kukupendekezea lakini kwa...
Mshukuru Mungu kwa kukupitisha katika kipindi hiki. Kumbuka kuwa kila kitu ni temporary na sio permanent. Ila utajifunza mambo kadhaa ambayo yatakusaidia sana mbeleni.
1. Utawajua marafiki wa kweli
2. Utamfahamu mwenza wako vizuri katika kipindi hiki
3. Utajifunza discipline ya matumizi ya Fedha...
Inategemea unaingalia toka upande gani, kwa sisi Wazee wa nguvu za Universe tunatambua kwamba hii ni syncronicity, Universe inakuletea ujumbe na vitu vyako vinaelekea kua aligned.
Kwa wale wa saikolojia watakuambia kwamba hii ni priming na framing. Ubongo unakua umezoea patterns fulani na...
Elimu kuhusiana na jambo hili sioni ikitolewa kwa nguvu kama enzi zetu tukikua. Nakubaliana na ukweli kwamba matumizi ya ARV yamesababisha kupungua kwa janga hili, lakini vijana wanaokua hawana elimu ya kutosha.
Matumizi ya vilainishi kureplace matumizi ya kondomu ni jambo la kuangaliwa kama...
Shukrani Mkuu Andrew. Ningetamani kujua Majanga kwa mfano say mradi mpya kama Stiegler au SGR responsibility ya distaster management bado iko chini ya Jeshi hili?
Ningeomba basi andiko hili pia kuongelea ni namna gani ya kupunguza stress na kuondoa kukosa usingizi ili kumsaidia mletaji bandiko na wasomaji wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.