Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli...
Mmm wala siwamini sana. Mbona kila harusi tano tatu ni mabinti wa kichagga????? Mabinti wa kichaga wako juu my dear ndo maana mnahangaika sana kuwa nao, vinginevyo ......... :caked:
Yaani nchi ya watu million 42, waliojiandikisha millioni 20 kisha wapige kura watu millioni 8, Hii ni aibu kubwa sana. Hata wote tungekuwa tumempa kura angekuwa hajafaa kuwa Rais kwani hao millioni 8 ni chini ya 20% ya watanzania wote. Sasa cheki hapo eti mtu anajiita Rais wa TZ
Tancredo de Almeida Neves, SFO more commonly Tancredo Neves
In 1984, he was one of the leaders of the Diretas Já movement that demanded direct elections for President of Brazil. Neves was the opposition candidate to succeed President João Baptista de Oliveira Figueiredo.
During the Presidential...
Hili amelikubali huku akijua fika jana alikuwa anatugombeza kama watu tusio na akili wala uelewa. Kumbe likiwekwa mojamoja mbele yao ndo wanakubali wamekosa siyo!!!
Bunge linalokuja siyo lile EL alilozoea kulitishia. Achukue tu fomu atajuta kwani kina Lisu watamtoa kama mfano wa mafisadi wa nchi. Hana mvuto wala hatuitaji fisadi katika nafasi yoyote katika nchi yetu. Huyo wa kujichekesha bado hajajua joto ya jiwe iliyo mbele yake. Anaenda kwa mazoea tu!
Eti GeniusBrain???!!!!
Kama angekuwa ameshidwa si tume ya uchaguzi ingekuwa imeshatangaza matokeo ya kura. Kwa vile ameshinda ndo maana kuna kigugumizi kikubwa na mbinu lukuki za kuharibu ukweli.
Uongo huishi kwa muda mfupi sana na mwisho wake ni aibu tu hata kama uongo huo ulifanya watu wajisikie vizuri au vibaya. Jinsi uongo unavyotawala katika uchaguzi na matokeo yake ndivyo hivyo hivyo nchi itaongozwa kwa uongo. Itakuwa ngumu kuiongoza nchi katika kweli, hivyo ni chain ya uongo tu...
Jamani Hodi!!
Watanzania wenzangu wana JF nawashukuru kwa sababu nimejifunza kwenu mengi nikiwa siyo member na sasa nimelazimika kujiunga kwani ninaamini hapa ni mahali pa watu wenye akili na utashi mzuri kuhusu Tanzania yetu na safari hii ya kuleta mapinduzi ya kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.