Kuna cha chini chini kuwa ilikuwa na inamilikuwa na Mzee Kabila wakati ule anafanya harakati za kuchukua nchi pale DRC. Hivyo baada ya mzee kukata moto nadhani ndo ikawa mwisho wake.
Mkuu kuna jambo haliko sawa...kwamba unasema umeamua kuachana na siasa za Tanzania ili usubiri wengine waamue nini utalipa katika kila muamala? nini utalipa utakapoingiza bidhaa kutoka nchi? Umechagua watu waamue kwa niaba yako ili juu ya maisha yako ya baadae wakati bado unaweza kufanya kitu...
Interesting...nadhani siyo UD pekee bali jamii kama jamii kuna sehemu dishi liliyumbishwa na sasa ndiyo matokeo yanaanza kuonekana wakati tukihitaji majawabu ya matatizo sugu bila kukumbuka tulikoyumbishwa dishi.
Mkuu ukifanya calculations kama hizo bila kuweka risks na mitigation approach zake bado hujafika kwenye uhalisia. Lazima uweke hizo factors. Lakini pia, kwenye maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa bei ya fremu ziko juu. Baadhi ya risks kwa uchache ni kama ifuatavyo:
1. Uaminifu mdogo kwa wafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.