Sidhani kama kuna uchunguzi unaendelea. Otherwise, nilitegemea iwe rahisi kukamata watuhumiwa waliotekeleza tukio mbele za watu kuliko waluotekeleza sirini
Unaanzishaje research bila pesa? Wadau wa kusupport ninaamini unamaanisha funding agencies. Kama ni hao, basi wao hucirculate calls for funding opportunity, na zinakuwa zinasema wanataka kutoa pesa kwenye tafiti za uelekeo fulani. Ni jukumu lako kupima interests zako na competency individually...
Issue si watu sahihi. Watu sahihi naamini wapo, unless uwe na uhakika kuwa hawapo. Je, taasisi imewezeshwa kiasi gani kufanya tafiti zenye kuleta matokeo mnayoyataka? Je, mwenye taasisi yeye anataka matokeo gani na ameyagharamia kiasi gani? Matokeo makubwa hayawezi kuja kwa kuyatamani tu.
Nijuavyo, programmatic activities za malaria zipo chini ya NMCP na hizo za matende na kichocho zipo chini ya NTDCP. Hivyo ni vitengo vya wizara ya Afya, na siyo NIMR. Hivyo kusema NIMR wanatuma pesa za miradi ya malaria na matende ni sababu ya kutofahamu ukweli. Yaani ni kama mtu kasimuliwa tu...
Umejuaje huyo Babra ndio pisi kali na huyo fundi ndio Mo Dewji..na hicho chombo (pisi kali) inahusiana vipi na huyo Fundi?
Hapo naona ninyi ndio mnaleta tafsiri zenu mnataja na majina ya watu halafu mnasingizia redio
Jeshi letu la polisi na mahakama zetu walimwuliza hilo swali? Au wao.hawajui? Ingekuwa vizuri ungelisaidia jeshi la polisi maana una taarifa za kutosha
Kura za mbunge na Rais zinakwenda kuchanganywa Jimboni ndipo jumla inapatikana.Kwa hiyo hizo zinatafutiwa namna ya kuingizwa tu mahali husika. Kama tume imeweza kuzitoa nje ya mfumo wake, itashindwaje kuziingiza? Hiyo mbona kitu rahisi sana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.