Binafsi, nimefurahishwa na Jina jipya la Pm Majaliwa kujitokeza,
Nitachukizwa kama Wassira atarudi kuwa Waziri,
Nitachukizwa kama Mama Nagu atarudi kuwa waziri,
Nitafurahi kama Prof Muhongo atarudi kuwa Waziri,
Nitachukiwa kama Nyarandu atapewa Uwaziri tena,
Nimechukiwa na Ndugai kupewa...
Hivi Ufisadi nchi hii umefanywa na Lowassa tu?
Hivi baada ya Lowassa kustaafu Uwaziri Mkuu hakuna kashfa zozote za kifisadi zilizoendelea nchi hii?
Hivi mpaka ufisadi mkubwa wa mabilioni ya fedha ufanikiwe, utakuwa unamuhusisha mtu mmoja tu na wala sio chain nzima?
Hebu tujiulize hayo maswali...
Hivi ndugu zangu/wanaume wenzangu hii kauli na nyie mnaipata mara kwa mara.Hii kauli huwa inaniboa kama sio kunikera pindi niisikiapo wakati huo nina kiu kwa mpenzi wangu.
Hivi katika kupeana raha inahitajika wote siku hiyo tuwe katika ""mood". Mimi ninaamini na kufahamu kuwa wakati mwingine...
Waafrika hatuachi asili yetu kabisa,
mke wa rais nilitarajia hawezi kuwekwa pembeni kiasi hicho,
alitakiwa awe sambamba na rais hapo....lakini dah........
mawazo haya yasokuwa na mashiko ndo yanayotuangusha watanzania wengi......
hakika tunahitaji uzalendo na viongozi majasiri,
ama lah....kwa mwendo huu hatufiki popote
samahani FirstLADY1, ukiondoa fikra gandamizi kichwani kwako,
na kuufanya moyo kuwa mwepesi wa kutaka kujua basi utafahamu tu alichokiandika NYUMBA KUBWA kinamaanisha nini,
By the way, Siruhusiwi kuingia huku jikoni, nimepita kuchukua glass ya kunywea maji tu jameni,
tchaoooo..........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.