Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za...
Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu.
Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden.
#matukiolive...
Uongozi wa simba SC umefikia makubaliano na Ayoub Lakred kuachana.
Ayoub ameitumikia Simba kwa msimu mmoja na kuifanya timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye Ligi.
Naelewa kuwa Simba SC imefanya maamuzi ya kumuachia Ayoub kutokana na majeraha yake.
... 🚨 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗
Klabu ya Simba imepeleka ofa rasmi katika klabu ya KMC wakimuhitaji kiungo Awesu Awesu. Mazungumzo yameenda vizuri.
Simba SC wanataka waliwahi dirisha la usajili ambalo litafungwa leo usiku. Tayari klabu hizo mbili zimefikia hatua nzuri katika makubaliano yao kuhusu usajili...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua tena Dr.Edouard Ngirente kuwa Waziri Mkuu katika Serikali mpya nchi humo.
Bw.Ngirente ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu, siku mbili baada ya Paul Kagame kuapishwa kuwa Rais wa Rwanda kwa muhulu mwingine wa miaka mitano.
Hata hivyo alikuwa ni Waziri Mkuu tangu...
Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa lilofunguliwa na mwanasheria wa Klabu ya Yanga Simon Patrick ambapo walidaiwa kughushi saini za wadhamini wa Yanga.
Wakili upande wa Magoma na Mwaipopo, Jacob Masenene, amesema kosa walilokamatwa nalo linadhaminika na...
Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Manchester United kwa mkataba hadi Juni 2029.
Aaron Wan-Bissaka mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na klabu ya Manchester United Juni mwaka 2019 akitokea klabu ya Crystal Palace.
Alicheza mechi yake ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Raphael Ndamahnwa ambaye ni mlinzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Watakatifu wote lililopo Nzuguni B kwa ajili ya mahoniano, kufuatia kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya Joseph Francis maarufu Mandojo...
TETESI, muda wowote kuanzia sasa mshambuliaji FISTON MAYELE anaweza kutambulishwa ndani ya klabu ya Simba SC,
✍️Hii ni baada ya Kocha mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids, kuomba aongezewe mshambuliaji mwingine mpya ndani ya kikosi hicho tofauti na wale waliopo ndani ya klabu hiyo kwa sasa.
Paulo News
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.