Noted Mr Kicheko.
Lakini sasa ambacho hukuelewa kwenye comment Number 5 ni nini??!!!!! :shock: Kama na wewe kiswahili uelewi vizuri nitajitahidi japo kwa kuchapia chapia ni tafsiri commnet number tano kwa lugha unayotaka mkuu.
Mkuu nadhani DCpromo ina stage kadhaa kabla a ku run . Sasa je hiyo error unaipata atika stage gani. I mean ni mwisho kabisa au katika stage za kati kati eg.
Lakini kwa haraka haraka naona tatizo linajielza kuwa ni DNS. Yaani hiyo mashine unayotaka kuimpromote kuwa AD haitambui au haioni...
Wadau wa tek Salaaaam
Nimepata challenge moja sasa kabla sijatafuta mtaalam naomba kama kuna mwenye ujuzi anipe maelekezo nijaribu kuyafuata nione kama naweza kurekebisha hili tatizo.
Tatizo Gani?
King'amuzi cha startime mft 930 kilikuwa kinapokea vizuri matangazo na kuonyesha channle...
Mkuu Unaweza kuwa sahihi lakini unaona na wewe mwenyewe unasema huna uhaika kama dell na HP wana Mini laptop lakini mleta mada anasema katika "dirisha la mununuzi"( Windows shopping )alilofanya aliona/ alipenda Dell, HP na samsung . Je zote hizo zilikuwa min laptop?
Nadhani way foward...
Hi lady N.
Uimara sio wa brand tu bali model. Japo generally kuna brand nyingine kama dell zinasifika lakini kuna model fulani fulani za brand hizo zinaweza kuwa zina design defect. Baadhi ya model za Hp na Dell ukisoma reviews za watumiaji kadhaa zina matatizo ya power supply...
kiranga habari za masiku
Kama hutaki mtu aamini at all that implies kuwa unataka mtu awe na imani asi au imani (-ve).( This depend wewe uko upande gani ) Kwa hiyo si k weli wewe huna IMANI. Una imani tofauti
.
Ukweli Hii dunia inakwenda kwa imani
Hata 1+1= 2 na number kama hizo ni...
"carnivorus!" uliyoandika nina hikika sio ile ya tuliyofunishwa kwenye bios-lagos kanumbas secondary school. Ebu nitegulie kitendawili una maanisha nn na hiyo "carnivorus". hhahahhahaha
Daudi mchambuzi
Atleast hii ni hoja lakini issue ya wabunge kuwa jimboni/wilayani ukiondoa wa mijini wachache sana wanatumia siku japo siku 60 kwa mwaka kwenye majimbo yao.
Sasa katika haowengi wanatumia muda mrefu mjini kuna wachache pia wanatafuta namna ya kupata na kuwasliiana na wapiga...
Nzowa Godat
Ok japo Physics yangu ya kuungaunga trough kanumbas schools kuna hoja mbili kule hujatoa ufafanuzi.
What is maximum intensity?(at least approximation). Kwenye phsyics topic ya kwanza form1 ni Measurement na mambo ya SI unit.Basi mwageni darasa kisayansi au wekeni link tuone...
kumbe weeee mkali . Hivi vipi kule maeneo . ile nafasi ya tatu ni yetu au tutaporwa ?
Complex numbersssss mhhhhhhhhh naona siku mwalimu anafundisha niiiugua
patience96Kwa avatar yako wewe utakuwa mkaliwa wa Trig na mambo ya pythagoras theorem .Au sio Mkuu
Hakuna anayeta ka kuspport ujingaa Lakini kuna wabunge wangapi wa CDM au NNCCR auCUF wanatuma japo siku 60 katika 360 wilayani achiia mbali jimbonii. Au kuna sheria ya mbunge imewekwa naCCM inawakataza?
Wabunge wangapi leo wa upinzani tukiomba resgiter zao za ofisizao tunaweza kuona...
Usishtuke hii mada hapa ndo mahala . Tuongelee story na history za somo la hesabu.
Hili somo liikuwa moja ya changamoto kubwawangu ( Naamin wapo na wenzangu wengi tu) .Iwe nishule za msingi sekondary au hata walieoendelea nalo hadi "Havard" na "Oxfrd" za hapa bongo na huko majuu .
Sasa...
Penye sifa papewe sifa zake jaman. Si bora huyuJanauari hata anatumia mbinu ya tenojia kuwasilia na wapiga kura wake
Kuna wabunge wengi wa CCM na upinzani kwa mwaka hawatumii hata siku 30 jimbo Na hawana njia ya kuwasilina na wanachi ambao hao waanchi wanaijua.
Lakini nakubainana wewe...
Bora hizo Hizo za wabunge maana ni zao au wamekopwa. lakini hizi za mawaziri ni za serikali.Sasa Gari inakula 200lst kwa wiki kiongozi mwenye maamuzi na uwezo wa kubadilisha gari hajishangai kutumia lita hizo kutoka Masaki kwenda posta.
Bora watumie L. nyumbu hata kama linakula lita 300...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.