Habarini wadau,
Natafuta nyumba maeneo ya Goba, au Mbezi Shule hadi Mbezi Makonde. Nyumba iwe ndani ya geti na chumba, sebule,jiko na choo.
Bajeti yangu ni kuanzia 150k - 250k .
Kwa mwenye msaada au anafahamu wapi naweza pata, karibu.
Habari yenu wana JF,
Tunapoelekea mwishoni mwa mwaka, mimi nmefanikiwa kuweka kuvunja kakibubu kangu na nataka angalau niweze kutembelea sehemu tofauti tofauti hapa Dar ambazo cost zake sio kubwa ila ni nzuri kwa kupumzika na "kurefresh" akili.
Kwa ambae anafahamu sehemu nzuri hasa za asili (...
Habarini wanajamii forum,
Nakuja mbele zenu kijana wenu mdogo kuomba msaada.
Natafuta chumba cha kupanga chenye sebule na chumba kimoja tu maeneo ya mawasiliano, survey, sinza au makumbusho. Chumba kiwe ndani ya geti na bajeti yangu ni 200k-250k.
Ahsanteni, karibuni DM [emoji120]
Habari zenu wanaJF?
Nakuja mbele zenu nikiwa na nafasi mbili za wadada na vinyozi ambao watakuwa tayari kufanya kazi katika barbershop iliyoko maeneo ya kawe.
Kwa maelezo zaidi waweza mtext mhusika kwa namba 0744898405 ( anaomba ntume sms na sio kupiga)
Habari zenu wanajf !
Nawasalimu kwa jina la jamhuri !
Barbershop iliyopo maeneo ya mikocheni inatafuta kinyozi mmoja na mdada mmoja kwa ajili ya majukumu ya barbershop. Sifa wawe ni watu wanaojua kazi yao vizuri na wenye uzoefu na barbershop au saloon kubwa.
Kama una vigezo au kuna mtu...
Kushindwa kujichanganya na watu ambao kwa namna moja au nyingine khna faida kufahamiana nao na pia kushindwa kutoa hisia zangu kwa mtu nnayempenda.
Changamoto nyingine ni kushindwa kuja ma majibu ya haraka katika muda ambayo yanahitajika kwani nachukua muda mrefu kuprocess taarifa na kuja na...
Habari zenu wana JF?
Nakuja mbele zenu kuomba msaada kwa ambao washawahi kupublish vitabu au wana uelewa juu ya kampuni zipi hapa Tanzania ambazo ni nzuri kwa kuchapisha vitabu.
Kuna Serengeti Bytes, Mkuki na Nyota Publishers na wengine wengi ila sijajua yupi anafanya kazi kwa ubora zaidi...
Naitwa smart introvert, nakuja mbele zenu kutafuta rafiki wa kike ambae tutabadilishana mawazo na kujenga urafiki mzuri. Umri wangu miaka 28 na nafanya kazi kampuni moja. Naishi Dar na ni mkristo.
Naomba rafiki awe wa kike,mpenda maendeleo,angalau awe na elimu ya diploma, dini zote ila mkristu...
Kwa taarifa nlizozipata kwa kigogo mmoja wa NMB ni kuwa waliahirisha zoezi la interview kwa waliopita sababu Corona ilileta Athari kidogo so ule uwezo wa kuajiri hawakuwa nao tena baada ya corona.
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu,
Hivi Ajira Portal huwa wanashotlist majina kabla ya kuwaita kwenye interview? sababu naona majina mengi mno kwa nafasi chache kama hakuna aliyekuwa shortlisted vile, au wanashortlist watu baada ya interview ila mkiapply mnaitwa wote.
Habari zenu wadau? Poleni na vita ya corona. Naomba kwa anaejua kwaya walioimba kiitikio cha ngoja ya roma inayoitwa kaka tuchati ile kwaya ni kwaya gani na wimbo unaitwaje. Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.