Mzee Mkapa, RIP, pia alikuwa mahiri. anashika nafasi ya pili baada ya Lissu. nadhani ndiye mgombea pekee wa Urais kupitia CCM aliekubali kufanya mdahalo na wagombea wenzake wa vyama vya upinzani 1995.
mikoa ya kusini ni wa kuwaacha hivyohivyo bila elimu bila barabara bila hospitali bila chochote. hayo ni maisha waliyochagua ukienda ukaanza kuwahubiria elimu au kuwaepusha na kangomba wa korosho wanakuchukia na kukuletea moshi kama hivyo kwa lengo la kukudhuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.