Fikiria wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana mjini, unamiliki kampuni iliyopata heshima kubwa. Baba yako ni mkuu wa majeshi mstaafu, kaka yako ni kanali wa jeshi, shemeji yako ni mbunge na mtoto wa Rais wa nchi. Mjini kote wanatambua nguvu kubwa ya ushawishi waliyonayo familia yako.
Unapewa...
TANZANIA TUITAKAYO
Asubuhi na mapema unaamka ndani ya nyumba yako ya wastani, kutokana na kipato chako kutokuwa toshelevu. Homa nayo inakushika, unasita kwenda mihangaikoni siku hiyo. Suluhu pekee ni kuelekea hospitali, uende walau ukachunguzwe na kujulikana ni kipi kinachousibu mwili wako...
Maneno hayo aliyasema Mtume (S.A.W), tena alitaja mambo matatu hayatakiwi kucheleweshwa yakifika muda wake. Nayo ni swala, kuzika maiti na ndoa. Iran wameamua wenyewe kwa utashi wao kuchelewesha na si kaamba Uislamu ndiyo unafanya hibyo. Hayo ni maamuzi yao binafsi dini isihusishwe, ukawaulize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.