Kumfikisha mwanamke kileleni hakuhitaji elimu. Mwanadamu ukizaliwa unakua tayari na maumbile yako aliyokupa Mungu, hisia za maumbile yako ni tofauti na mwingine. Hizi elimu za mapenzi ndo mara nyingi zinavunja mahusiano.
Mkifika kitandani naturally mtafikishina tu kileleni, otherwise mmojawapo...
Kabla ya kuchukua uamuzi wa mtu yeyote humu fikiria kwanza ukimuacha itakusaidia kuondoa hasira ulizo nazo? Binadamu tuna madhambi makubwa, kusameheana ni jambo muhimu sana.
Mimi nilicheat kwa wife, sikutaka kucheat kabisa ila tabia zake ndo zilinisababishia kucheat. Ilivyotokea kweli alijua...
Huyo atakua hana papuchi, kuna watu wameumbwa wanawake+wanaume, kama ana homoni za kike wanakuwaga wazuri sana ila ndo hivo hawana papuchi, nawajua wengi na wamewaliza wanaume wengi. Mwanamme unakomaa kutongoza kumbe binti sio binti, sio Makosa yao, ndo walivyozaliwa, na kwa tamaduni zetu...
Binadamu tuna madhambi makubwa msinihukumu
Katika harakati za ujana kuna sehemu binadamu tunakosea, kutenda kosa sio dhambi ila kurudia kosa ndo dhambi.
Mimi najutia kulala na mke wa kaka yangu. Kaka yangu ananizidi miaka 30, ana wanawake watatu, mke wa mwisho ndo nililala nae, wote tulikuwa...
Mimi kama kijana wa kiume naumia sana mana nilibikiriwa na mtu anaenizidi umri, ilikuwa ni utani tu nikashangaa namla bila kutarajia. Nakumbuka nilipita karibu na duka lake akaniita, akaniuliza unakunywa pombe? Nikamwambia ndio, akasema njoo kwangu saa mbili nitakuwa nimefunga. Ilikuwa mara...
Siasa sasa hivi ndo ajira kubwa toka serikalini, mtu anaona ni bora atetee njaa kuliko kutumia akili zake za kawaida. Wasomi hawana ajira wanakimbilia siasa, nafasi moja ya jimbo I gombea uwanja watu 700, hii si dalili njema kwa mustakabali wa nchi.
Mkuu nipe pongezi mimi nimepata, ila kwa sasa niko US ninasoma. Nimeangalia kwa tulio US tunaweza kufanya kitu inaitwa adjust status, je hii inachukua mda gani? Nimeona maelezo wananiambia naweza kwenda kwenda local USCIS na kuadjust status yangu, ila kwenye entree nimeona kwamba lazima...
Tuna kazi kubwa saana, na safari ndefu sana kuijenga nchi yetu. Watz tuna akili finyu sana, uwezo wetu wa kufikili bado uko matakoni haujafika hata kiunoni. Hizi siasa za kupondana na kujionesha kamwe hazitatusaidia kulijenga taifa yetu, yani ni aibu mtu mzima tena anaeishi UK anakuwa na akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.