mmmhhh!!! first demu ni dudu gani like alivyouliza mmoja hapo juu??
naona sielewi kabisaaa haya ok.....si basi kasema ataonana nae baadae kwani is there anyproblem?
cha muhimu hajakuacha wala hajakuficha simu alio reply thats all...inshaallah nasubiri maana demu ili nipate fikra zaid..
hahah haya jitaarishe na safari basi ue nayo lakini na ile ya kuhemea ile maana huku hamna oxygen hehehe ...kote moto mwenzangu huku hamna marazi lakini huwezi kuhema huko mna marazi lakini mwahema lool...lakini hamna tabu gass tutamia kipindi kifupi tuu ikiisha tutakuwa tushazoeana na hali...
hahahh i'm in the venus the second planet kaka ake hku life nzuri waenjoy tuu na hakuna ukimwi wala malaria hahah kazi kwenu sasa???nikukatie tiketi ya kuingilia au??? hahhahaa lool ...:dance::dance::A S 103::A S 103::A S 103:
w,salam,,, nipo my dear,,basi mi naona wewe ndio ulipotea mpaka nikakutafuta nikachoka kote sikuoni kidogo nikuanzishie kisredi hahhahaha lool.... mambo zako lakini??
hahhah imenifurahisha japo haipendezi maana amsuta mama ake,,hahah momy said ah ah ah and i have heard youuu na mkono kiunoni loool hii kali.... mpaka mama ahema lool mtoto mwenyewe machacharu loool kazi kweli kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.