Mungu ni mwema sana, hiyo kazi imenipa kumbukumbu muhimu sana katika maisha yangu, niliweza kusafiri hadi bara jengine, nimepanda usafiri wa aina tofauti kama Dreamliner, SGR, treni za underground, mabasi ya mwendokasi yanayotumia umeme. Kikubwa ni kumuomba Mungu, pia uvumilivu wakati mwengine...
Watu tumekaa dar tukiwa hatuna kazi maalumu ya kutulipa mshahara, sasa hapo kwenye kilo 3 na sunu, mbona Mangi nitaishi naye vzr tu.
Kusa sehemu niliambiwa mshahara ni 120k ilikuwa mwaka 2007, nilitaka nikimbie kazi, wenyeji/ wafanyakazi wenzangu waliniambia nitulie nisome mazingira kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.