Hongera Kaka...
Watu wanatoka nje ya mstari...Lengo ni kubadilisha maisha ya watanzania...Asilimia 70% ya UKAWA kushinda ni kumtumia LOWASSA na si mwengine yeyote ...Dr,SLAA dhidi ya MAGUFULI ni 50/50% ...Mpaka sasa CHADEMA na UKAWA wako sahii katika maamuzi yao...
Amani iwe kwako vile vile,
Tatizo watu wengi wanashindwa kuelewa siasa...Siasa sio dini ,mabadiliko yanalazimika kutokana na mazingira yaliyopo... Mpaka sasa CHADEMA /CUF na UKAWA kwa ujumla wako sahihi...Ikumbukwe kua lengo ni kuiangusha CCM.
Chama ambacho kinashikilia nchi yetu kimabavu...
Kweli Jamiiforums imefanya makosa kuto dadisi uwezo wa wachangiaji...Hapa mahali pamegeuzwa kuwa jukwaa la wajinga, aibu sana. Siku ukimkamata mwizi hakumu yake iwe nini au na wewe ukamwiibie? Pumbavu mkubwa wewe!!!
Pumbavu mkubwa wewe...Hujui kama hata mtuhumiwa anakuwa hana kosa mpka mahakama ya sheria ,kuthibitisha kosa la mtuhumiwa. Nchi hii imekosa baraka za M.Mungu kila mtu yuko tayari kukandamiza haki ya mwengine.
Huu ni ujinga wa mwisho.... Watz tunaburuzana mpaka tumekubali kama haya ndio mazingira tunayostahili kuishi...Poleni sana wajinga wa fikra na akili...
By Farrel Jnr Foum
Kura za hapana zilizoshinda leo hazijaja kwa urahisi maana ahadi za kurejesha mamlaka makubwa Scotland yataifanya nchi hii kuwa na mfumo mpya wa muungano wao. Bwana Alex Salmond namuona ni mwenye kipaji kikubwa na mwenye kujiamini, anajuwa anachokifanya na nina hakika hii...
Ha ha ha... Bado tu unaendelea kuweweseka...Zanzibar huru haiko mbali... Kazi yetu sasa inafanywa na UKAWA na Tume ya Warioba ilisha safisha njia , tunasonga mbele. Sio lazima tukwaruzane hapa kila uchao , hapa yule pacha mwezio MWKJJ naona haoneka ni mara kwa mara sasa...Kero za Muungano...
Hakuna mtu mwenye akili zake aseogopa ugaidi... Tatizo linakuja pale mtuhumiwa ambae anatambuliwa kuwa hana hatia mpaka pale mahakama ya sheria itakapotoa hukumu ya kisheria...Sasa suala la Polisi kujichukulia sheria mikononi mwao (kama kawaida yao polisi wa tz) hii ni hatari kwa usalama wa...
Hakuna mtu mwenye akili zake aseogopa ugaidi... Tatizo linakuja pale mtuhumiwa ambae anatambuliwa kuwa hana hatia mpaka pale mahakama ya sheria itakapotoa hukumu ya kisheria...Sasa suala la Polisi kujichukulia sheria mikononi mwao (kama kawaida yao polisi wa tz) hii ni hatari kwa usalama wa...
Polisi wa Tanzania wanatutayarishia uwanja wa mapambano, Iko siku waislamu na wasiokua waislamu tutapambana na vita hiyo haitakuwa na mshindi...Jamani hata mbuyu ulikuwa mdogo kama mchicha... Mwisho wa chocko choko hizi ni mapambano...
Mkuu Hongera kwa Kuweka kumbukumbu vizuri....
Sasahivi nipo nje ya Tz na sehemu ninayoishi kumekuwapo na Walibya wengi sana ,ambao wamekimbia vita na vurugu katika nchi yao. Baadhi yao walishiriki katika vita vya kumtoa madarakani Qaddafy. Amini usiamini hawa watu hivi sasa wanajuta... Libya...
Mheshimiwa ,
Wanzanzibari wako kimya sio kama hawana la kusema , La! Tume ya Warioba na Ukawa wanasema yale ambayo wznz wamekuwa wakiyasema miaka nenda miaka rudi... Tumewaachia hao watu wayaseme kwa lugha ambayo mnaifahamu.
Ila , nakubaliana na wewe kama hawa CCM wanachotaka ni shari ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.