Hivi mmeona wapi steji ya kuperform ambayo haina taa? Hivi inawezekana vipi flash ya wasanii inagoma kusomeka?
Hayo yametokea jana kwenye kwenye Tamasha la Pasaka lililoandaliwa na Msama Promotions pale Uwanja wa Taifa.
Katika harakati zangu za kuendelea kutafuta mlango wa kurudi kundini...
I don't care what they are going through within their operations at the moment
I don't care whether they are striving to cut down cost by downsizing their aircraft
They are taking us for a ride. This is unacceptable.
I have been stuck in Kampala since Tuesday (Oct 4th). I came here for a...
Ahsante DN kwa ufafanuzi.
Lakini sasa kwanini TRA wameniadhibu, kwa kitu ambacho sikuwa na control nacho? Mimi nimeliona gari na nikalipenda. Nikauliza bei nikapewa na nikaikubali. Sasa kwanini TRA wamehamua kuniadhibu zaidi kwa kunipiga ushuru ambao hauna uhalisia kwa bei niliyolipa? Ni kwamba...
Sawa Barbosa nimekuelewa.
Ok nimeibiwa. Sasa kwanini Serikali inaniadhibu zaidi?
Kwani kwa TRA kuongeza thamani ya gari ni kunaashiria kuwa gari ni chakavu au lina thamani kubwa? Nimeuziwa gari kwa $4,455 na TRA wamelithaminisha $10,880. Kitu kinachothaminishwa zaidi ya bei/uhalisia...
Barbabosa,
Kama kudanganya basi aliyedanganya ni yule aliyeniuzia. Mimi nimenunua gari online, na hiz ndizo details nilizopatiwa. Na hiyo valuation na kodi husika ilikokotolewa ka kutumia TRA Valaution Calculator. Ninavyozungumza hivi hata Shipping docs za hiyo gari zijazishika mkononi...
Kwanza niaze kwa kusema kuwa sina nia ya KULETA UCHOCHEZI! Maana siku hizi kila jambo linalosemwa au kuandikwa ambalo linalenga kutofautiana au kukosoa mfumo mpya wa uongozi wa nchi yetu basi linatafsiriwa kama uchochezi. Siku hizi hatuna budi kufunga midomo yetu na kumuacha Rais wetu afanye...
The Nun's Ass
A pastor entered his donkey in a race and it won.
The pastor was so pleased with the donkey that he entered it in the race again, and it won again.
The local paper read:....... PASTOR'S ASS OUT FRONT
The Bishop was so upset with this kind of publicity that he ordered the Pastor...
Kupenda au kuvutiwa? Unawezaje kumpenda binti wakati hata bado hujamfuata/hujaongea nae? Absolutely negative!!
Ukimwona mdada anaye-fit "taste" yako unavutiwa naye (na sio kumpenda). Ukiwa mjasiri wa kuongea naye (na akakubali ombi lako), then mnajenga urafiki wa kimapenzi, na eventually...
Fazaa,
Calm down...naona unaandika kwa jazba...
Ni wapi nimefananisha God na mwanadam? Au God na love?
Nimeandika hivi "No one is strong enough to walk on the love path. We were not granted that type of strengh. He (God) kept it to himself...."
Ulielewa vizuri nilichoandika?
Is this love...
Do you think there is gonna be a moment that feeling will be altered (even by a slice)? If the answer is yes (which is the only available answer to this question), then what you are experiencing is not love. you are just thrilled with her ways
Love na comfortability ni ardhi na mbingu.
Comfortability (in a relationship) is a zone we live in when we get used to one another. I know you...you know me! I can handle your b/s...you can handle mine. It is like, we are at a state that we usually know what to expect from each other in terms...
It simply doesn't exist.
We all have (not just some) been sweating to search for something that is non-existence. Only if we would realize how much time we are wasting...
Oh really!!! How would you know you have grabbed it? Tell us about it!
Haswa! Ndio maana nikasema kuwa sote tumelazimika kukubali matokeo (jinsi tulivyoumbwa). Hakuna binadam anayeweza kukiri kuwa anafurahia features zake zote alizopewa.
Love haina dosari. Unapo-point dosari kwenye tabia yako au kiungo chako, basi ujue huo ni ushaidi tosha kuwa hakuna hata kitu...
Fazaa,
Can you honestly claim that you have a perfect state of attitude towards yourself? Hakuna kiungo cha mwili wako ungependa kiwe tofauti na kilivyoumbwa? Toes? Your butt shape? Your stubborn attitude? Vipi kuhusu height yako?
No one loves self. Tumelazimika kukubali matokeo kwa sababu...
Labda tuseme ni kweli mimi sijui ninaongea nini.....
Kwa mtazamo wako wewe, what are love indicators? Ni vitu/vigezo gani vinaweza kukuashiria ya kuwa "hewalaaa..this is love?"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.