Kabisa mkuu. Lowassa tangu akiwa CCM alikuwa anaungwa mkono na Rostam, Chenge, Karamagi etc. Hawa jamaa CCM wako vivuli ila miili yao iko na Lowasa na hata kura watampigia Lowassa. Mbele ya Magufuli hawana meno na biashara zao haramu lazima zidode tu. Wanapambana ili Lowassa achukue nchi...
Katika ofisi ambazo zinakusanya pesa nyingi kutoka kwa wateja wake hii ni mojawapo. KUna taasisi ndogo tu ya serikali ninayoijua na wakienda kukagua mahesabua ambayo huwachukua takribani wiki 3 na idadi yao huwa watu kama 4 huwalipisha milioni 20 na zaidi. Sasa huko kwingine kwenye maofisi...
Ukitaka kujua kuwa Lowasa ni fisadi huhitaji kuumiza kichwa, wewe angalia tu marafiki zake: Chenge, Karamagi, Rostam Azizi na fisadi wa ubungo Bus terminal Kingunge Ngombale Mwiru
Hivi watu wengine mmezaliwa na matusi tu kwa nini? Sasa kujibu kwa lugha chafu namna hiyo as if nimeongea kwa kumtusi mtu unamaanisha nini? Hizo formula za mafao kutoka SSRA ndo zikoje ziweke hapa basi tuzione. Mimi nimetumia formula za mafao zilizo kwenye mitandao ya mifuko hiyo. Sasa unaposema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.