Umeweka maandiko hapo na yanakuambia kabisa kila mtu na awe ma mke wake mwenyewe na bado unasema huoni.
Umeshaandika kila mtu awe na MKE wake mwenyewe sio Wake zake ni mke wake
This is the best matured advise. Chukua ushauri huu mkuu.
Nachelea kusema Huyo ni mke wako kabisa. Ondoa mawazo ya kumuacha kwani ukifanya hivyo utajuta maisha yako yote.
Kilichokosekana na hapo ni Upendo. Tumeagizwa tuwapende wake zetu. Ukimpenda utarudi hapa na ushuhuda jinsi ambavyo nyumba...
Mshana Jr
Bahati mbaya kabisa hii mada nimeiona late.
Lakini hakuna jambo gumu hapo
Soma Hapa chini:
Ufunuo wa Yohana 10:7
[7]isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo siri ya Mungu itakapotimizwa, kama alivyowahubiri watumishi wake hao...
Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu
Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je naweza badili hii ROM Na kuweka ya Europe?? Naamini humu yote yanawezekana.
Au niende wapi nikatatue hili...
Wakuu Habari?
Ninaomba kuuliza kuna mwenye taarifa za namna ya kusfirisha Conatainer ya Mzigo kutoka TZ kwenda Zanzbar taratibu zake, Tozo na mengineyo ni kiasi gani?
Naomba kuwasilisha
Hili huenda lina ukweli. Week kadhaa zilizopita nilipita hapo Namanga kutokea Nairobi aisee upande wa Tanzania kuna Roadblocks sio chini ya nne hiyo yote ni kusaka wakenya tu. Nilishangaa kule Kenya hakuna kitu km hicho.
Muheshimiwa Mwigulu Nchemba ninaomba kuuliza. Kama umechukua hatua hizo dhidi ya waliomdhalilisha Nape Nnauye jana. Je wale waliotishia kwa Bunduki wale vijana wa Clouds vipi kuna utaratibu gani wa kulishughulikia hilo. Maana wote ni raia bila ya kuangali status quo.
Pia sisi wananchi tulio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.