Kwani watu wanalazimishwa kuja kusoma ktk mtandao wa Jamii Forums kama wanakereka? Kwa nini wasianzishe mtandao wao na wawalazimishe kila mtumiaji wa huo mtandao atumie jina halisi.
Hizi Trilioni 1.5 lazima zitatemwa au tutaambiwa wapi zilipo. Maana kila kona kuna mashabulizi. Sasa watetezi wa upotevu wa hizo hela wataanza personal attack badala ya kuhoji nini kilicoandikwa
Baa zinafunguliwa jioni na wanywaji wa maofisini wanaanza kunywa kuanzia saa 1 usiku. Kwa hiyo hao wapimaji watafanya kazi overtime mpaka usiku? Wale wasiokunywa pombe kama Walokole, Waislamu na wengine ambao hawatakunywa hawatapata fursa ya kupimwa? Au hili zoezi linawahusu wanywaji tu...
Hapa mbona nashindwa kukubaliana na wewe.Sababu mpkaka sasa havi hakuna mahakama yoyote iliomfungulia mashtaka Lowasa kwa "ufisadi". Hii mahakama ya ufisadi mpaka sasa hive waliowekwa au kushtakiwa ni wa upande mwingine tu. Sasa utaniaminishaje kuwa kumpokea Lowassa lilikuwa kosa kubwa...
Mbunge anachaguliwa na wananchi na sio Raisi. Sasa hawa wabunge wanao jiudhuru eti kwa ajili ya kumwuunga mkono Raisi hawajui kuwa wanavunja makubaliano na wananchi ya kuwatetea Bungeni? Sasa kwa nini wabunge hao hao waende kuomba kura kwa wananchi badala ya wao kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa au...
Mbunge anachaguliwa na wananchi na sio Raisi. Sasa hawa wabunge wanao jiudhuru eti kwa ajili ya kumwuunga mkono Raisi hawajui kuwa wanavunja makubaliano na wananchi ya kuwatetea Bungeni? Sasa kwa nini wabunge hao hao waende kuomba kura kwa wananchi badala ya wao kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa au...
Kwa nini huyo Waziri asishikwe kwa uchochezi? Kwa nini asiwekwe ndani kuisaidia polisi? Mbona wasio mawaziri wa upande wa CCM wakisema hivyo wanawekwa ndani? Hii sio double standard?
All in all Kigwangala lazima aufyate. Polisi lazima watam nockout Kigwangwala
Nimekuelewa Isaa. Lakini ninyi wa Wazenj mlipata fursa nzuri sana ya kuukataa huu Muungano feki ktk Rasimu ya Katiba. Pale Bungeni kura zenu za kuukataa Muungano huenda mngepata Uhuru wenu. Sasa ninyi mnaumia na sisi tunaumia. Poleni sana
“Alcohol may be man's worst enemy, but the bible says love your enemy.” “I drink to make other people more interesting.” “In wine there is wisdom, in beer there is Freedom, in water there is bacteria.” “First you take a drink, then the drink takes a drink, then the drink takes you.”
Hata mtoto wangu ilikuwa ngumu sana kula hasa ktk umri huo ijapo hakung`ang`ania chipsi. Sasa kwa vile mama amemzoesha chips, jaribu kumpa chipsi kidogo baada ya kila mlo kamili(baada ya balance diet). Hii fanya kwa kila mlo hata kama ni mara tatu kwa siku. Asipokula mlo kamili usimpe hiyo...
Kwa vile ukame unatukabili sana nchi yetu, na kasi ya ukataji kuni sasa hivi inaongezeka sababu ya uwingi wa watu na wengi wananchi hawana uwezo wa kununua rasilimali yetu ya gesi... ukiangalia vilevile tuna nguvu kazi nyingi zinapotea na zinatia hasara. Ningependekeza hawa wafungwa kwa nini...
Kwa vile Raisi wetu anawapenda Watanzania na kaahidi kuwalinda Watanzania nina imani sana Raisi wetu mpendwa ataweza kuwaomba M15 au M16 au FBI au hata CIA na mashirika mengine kuja kupeleleza na kuwakamata hawa "watu wasiojulikana".
Nina imani sababu sisi raia wa Tanzania ndio muhimu zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.