I have liked your version of sigara na bangi. Its true dat. Tabaka la wao na sisi bado ni kubwa sana miongoni mwa sisi Watanzania. Lakini wengi tunalazimika kwamba ndio mfumo halisi wa maisha yetu. Na jamii imeshajengwa kuamini hivyo. Yaani ukiwa kwenye madaraka makubwa, you can get away with...
Hhahahahah! Heri mimi sijasoma! Kama hujalipa deni, wewe kalipe tu. Isiwe taabu sana. Umesomeshwa bure, sasa umeshapata lijikazi la maana, wewe umekalia kutanua tu. Wawezeshe wadogo zetu wasome bwana. Lazima kuwe na revolving fund ili haya mambo yaweze kwenda. Otherwise hii nchi itakuwa na...
After all these years I have lived, I have come to realize that "kuazimia na kutekeleza ni vitu viwili tofauti kabisa". So, the bottom line is, haya makongamano huwa yanaishia kutoa maazimio. Lakini utekelezaji wa hayo maazimio ni zero. Its time we change this.
I love this country! I'm happy to be born here. I love my Tanzania. Kule Nigeria waasi wameanza mapambano sasa. Ni vitu kama hivi vinavyokatisha tamaa vinapelekea watu kuasi nchi yao. Lakini in my Tanzania, hata mtu akuchokoe jichoni, wewe unatabasamu tu and life goes on. Go Idrissa!!!
Uzoefu unaonyesha kwamba ajali nyingi sana hutokea kipindi cha kuelekea mwisho wa mwaka. Kuna mtaalamu mmoja aliwahi kugusia kwamba shamrashamra za sikukuu zina madhara fulani kisaikolojia kwa watu. Sijui ukweli kuhusu hili ukoje.
Poleni sana kwa wale waliofiwa na poleni sana kwa wale...
Sioni impact yoyote ya kumtambua Rais ikiwa imebaki mwaka mmoja uchaguzi kufanyika. Karume hawi Rais kwasababu CUF imesema inamtambua. Karume alikuwa Rais pale tume ya uchaguzi ilipomtangaza kama mshindi wa uraisi huko Zanzibar. Sasa Maalim kusema leo anamtambua naona kama ni kichekesho na...
Sioni tatizo kwenye hoja za Zitto, Slaa, na mwandishi wa habari hizi. This is all abotu speculations. Speculations from the media na kwa hao wanaodai wamefukuzwa kutoka katika chama. They should wait for the official letters if its true that they have been fired. Speculations za nini? Kama...
Naomba tukumbuke tu kwamba haya ni matokeo ya kura zetu (kwa wale tuliochagua CCM). Na hali hii itaendelea hivyo mpaka siku tuseme basi sasa imetosha. Ni hali ya kusikitisha sana kwa kweli.
Kwa mimi mwananchi wa kawaida sioni kama spika alivunja kanuni yoyote ya kuendesha bunge, na sioni...
Big up to you Mbogela. Nimeipenda mistari yako, japokuwa hujaiweka katika hali ya ngojera wala shairi, lakini mistari imesimama.
Big up to you Mwanakijiji too. Excellent work. Wengine hatuna hata clue mtu anaanza kutunga mashairi kama hayo. Its a God given talent I guess.
I guess you have failed to potray what you have intended to potray. Mentioning how TISS works without relevant examples is meaningless to us and does not prove that APSON alishindwa kuongoza hiyo taasisi. Kwenye hizo stages zako za planning, data collection etc, ungetupa examples to prove that...
Kaka/Dada nikupongeze kwa kung'amua hilo. Waswahili husema "Hilo nalo neno". Yaani umegusia jambo la maana lenye kupaswa kujadiliwa. Naweza kusema nguvu kubwa au jeuri kubwa ya CHADEMA inatoka kwa Dr. Slaa na Zitto. Lakini hasa hasa kwa Dr. Slaa. Dr anastahili pongezi kwenye hili. Huyu ndio...
To be fair, labda tuseme Mengi ndio kaanza haka ka-mchezo ka kutokusoma magazeti ya wenzake. Sina uhakika nani alianza, lakini ukweli ni kwamba ITV au Redio One hawachambui magazeti mengine zaidi yao. Zamani walikuwa wanachambua, lakini sasa hamna kitu.Wanachambua magazeti ya IPP Media tu...
Hard to tell. Ongea na Lundenga akupe vigezo vya washiriki. Lakini naamini kama alikuwa amekubaliwa kushiriki mpaka mazoezi basi ana vigezo vyote. Basi angeweza kushinda na kupanda chart. Lol!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.