Nakubaliana na Mlenge 100%, nadhani watu wengi hawaelewi dhana nzima ya hifadhi ya jamii. Wizara husika itoe elimu kuhusu hili jambo. Pension sio akiba, pension ni mbegu. Kama watu wanataka wapewe michango yao yote wanapostaafu inabidi kwanza waende bungeni wakabadili mfuko wake toka defined...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.