Thanks Superman,
Ni research kidogo, wanatakiwa watu kama wawili au watatu hivi wanaojua jinsi Procurement processes, suppliers, prices in general, relationship between customers and vendors, logistics. In short entire Supply Chain in Tanzania. Itakuwa maswali kadhaa ya kujibu, of course...
Habari zenu wandugu?
Jamani natafuta watu wanaodeal na mambo ya procurement. Some sort of consultants au kampuni. Kama kuna mtu yeyote huko, please private message me.
Natanguliza shukran zangu.
Kuna nchi zingine huku ulaya, watu ambao hawajasoma wanalipwa pesa nyingi kuliko hata watu wa ofisini, kwahiyo hiyo sio sababu. Kazini kwetu mshahara wa chini kabisa baada ya taxes kwa watu ambao hawaja soma ni around 4000 usd. Kuna Watanzania wengi ambao tumesoma na tuna kazi nzuri tu. Lakini...
@TanzanianFemale: Because UN setup is quite straight forward and the information is easy to find on the web. It ll be interesting to hear from people who are working in some of these companies in TZ.
Wana jamii,
Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
Gurudumu - Kitu cha kwanza tunaomba please utuweke specifications ya machine hizo, au hao jamaa zako kama wana website ingekuwa vizuri, hili tuweze kupata information direct from the source. Tayari umeshasikia kwamba demand hipo, now it is time to act and do a good marketing project.
Taso !! Tafadhali ndugu yangu, kama hauna cha kuchangia. It is fine, siyo lazima uandike chochote. Maanake so far hamna chochote ulicho andika chenye manufaa kwenye hii topic.
Please speak when you have something wise to share with the rest of us otherwise try the udaku and mambo yasiyokuwa na...
Na wewe hukwenda shule? Ungekuwa umeenda shule, ungejua kwamba kiswahili hakifundishwi kwenye shule zote duniani. Mimi sijasoma shule Africa, niliondoka Tanzania nilivyokuwa na miaka kumi, sasa hivi nina miaka 33. Kwahiyo baada ya miaka 23 naona najitahidi sana na kiswahili.
Niko Denmark, ha hapa sasa hivi kuna kampuni inaitwa Onfone ambayo imewateka sana wateja wa makampuni makubwa. wana package kama hivi: Ongea 15 hours per month local mobile, local landline na 70 countries landline. Unlimited SMS, MMS na 1GB data. for around 65000TSH per month. Sasa ukiangalia...
Egongo.
Asante sana kwa maelezo yako. Yani umejibu yote tu vizuri. Nita save e-mail yako incase nitakuwa na maswali mngine. Kwa kifupi ni kwamba its too expensive kupiga simu Tanzania ukilinganisha na nchi nyingi tu, especially za huku ulaya. Sasa makampuni makubwa makubwa yote yanakosa wateja...
Habari zenu wakuu?
Jamani ningependa kuelimishwa kidogo kuhusu kampuni za simu Bongo zinavyo fanya kazi. Nina maswali haya
1: Mtu yeyote anaweza kufungua kampuni?
2: Is there a price agreement imewekwa na government? kwamba lazima bei ziwe kiasi flani? au is it a free market?
3: Kuna ugumu...
TanzaniaHorizon, I understand you, i am in Copenhagen. I always wanted to invest back home. I have tried fishing nile pearch (sangara) business in Bukoba. I have had a club and a restaurant in Mwanza. I have had a clearing and forwarding firm. All these went ok but did not progress much since I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.