Nimegundua sasa Majeshi yetu yote na watu wa Usalama wana enjoy mapesa ya walipa Kodi. Juzi Mwanza nimeona wale FFU wamepewa special kofia nyekundu wanatamba njiani eti wanatafuta waingizaji wa mirungi lakini mbele ikaja gari ina wasomali wakakata mapesa mengi wakaachiwa kuingia na mirungi...
Ndugu Mtanzania tufikie mahali tuangalie Tanzania na si vyama vyetu.Naona michango inavyo changanya nia nk.Umewavaa sana Chadema lakini kumbuka hata CCM sasa wanataka kuandamana kama ni kweli kuhalalisha wizi wa Karamagi na wewe ni Chama chako ? Mimi nadhani tuongelee siasa za Tanzania kulingana...
Mugongo huwezi kunipata kirahisi ama kama umenipata basi hutaki kusema umenipa I wonder kwamba unaandika sawa kabisa na Mzee Es aliye tuaga hapa maana I smell the beef aliyonayo kwa Mbowe ila sasa wewe umekuja na njia tofautio kidogo ambaye inakuwa rahisi kwa kila mwana JF kujua what is going on...
Mugongo nadhani una matatizo makubwa badala ya Mbowe ambaye unaonekana kumvalia njuga . Mimi naishia hapa wengine wataendelea ila wako watako kupa majibu kutokana na mchango but I bet Mbowe kapiga hadi Ikulu kwa ukali wa maoni yako .
Kikwete; tushike anayoyasema au anayoyatenda?
Kitila Mkumbo
KUNA kanuni kuu tatu katika ufundishaji, ambazo kila mwalimu mwenye kufuata kanuni za ualimu huzifuata pindi anapoingia darasani kufundisha. Kwanza, mwalimu atawaambia wanafunzi wake kile ambacho anataka kuwaambia katika siku...
Nina wasi wasi na akina Tibaizarwa , Otieno, nk. Hapa sasa swala nani i raia na nani si ndipo linakuja lakini kwa rushwa na kujuana yote hata yanawezekana Tanzania yetu ya ajabu . Wacha tuone .
Je kwa nini baraza la Mawaziri likalie hili jambo na si Bunge ? Pesa hizi zinatolewa hazina ama ni...
kazi ni kubwa sana .Ila issue hapa ni kwamba ni kweli JM aliitwa Jumanne hata kama ni kwa masaa na je sababu ipi ? Mama yule kusema JM anaitwa J4 hamwezi kuona kaukweli ndani yake maana yeye alikuwa analala naye na hivyo siri zake atakwua alizijua ? Madai kuitwa J4 kwa kuwa aliahidiwa ama hata...
Kumbe wewe ni Mganda ? Maana Amin was a living devil Ugandan leader.Anakuwa shujaa wako kivipi ? Kuna akina Mkwawa hapa , shujaa Nyerere, Patrice Lumumba nk na hata Amina naye ? Ama ni shujaa wa Waislam ? lakini kwa ushujaa upi hata wa kuwafanya nyie waiskam kumkumbuka ?
Ukipinga Mwalimu kuwa hastahili utakatifu lazima ujue unacho kipinga . Kuna watu wana kusanya data ili kufanya maamuzi baadaye lakini data pekee hazitoshi tunangoja miujiza . Tayari kuna ushahidi wa tu kuhiji Butiama na wamepona . Hilo hutakubali lakini ndiyo mwanzo wa miujiza . Mtu yule alikufa...
Mzee Es
What are you trying to tell us ? Je unachokataa ni kutoa rushwa kwa ndugu yako ama kuiba kura ? Maana hapa kuna mawili ambayo ndani ya Serikali ya CCM hayaachani . Kuiba kura na kutoa mlungula . Huyu jamaa yako kwanza alifanya vituko mno hadi kuingoza ukabila na uchawi kwenye kampeni...
Mzee Es
Kwenye hili ninakungoja sana usee lako la mwish ukiwa tayari lakini naona umeanza kuchukua side maana umeanza kuhoji sana ujaji wa mzungu huyu Tanzania na tabia za wazungu .Ila nasema ukweli ni mwingi sana katika filamu ile na ni 98%
kwa kuwa mambo yameenda mahakamani na natumaini sasa kwamba Mahalu ndiyo kaamua kujimaliza na Mengi na walio andika nadhani wanajua wanafanya na amejimaliza bila ya kujua wacha tuone mchezo utakuwaje .
Jangwani nayo imebinafsishwa
Mikwara yote ya kusafisha eneo la Jangwani kuwaokoa walio mabondeni na mafuriko ya mara kwa mara kumbe ni danganya toto.
Eneo hilo linadaiwa kuwa tayari lina magabacholi wanne waliolinasa tangu mwaka 2004 tangu enzi za Mzee wa Jiji Yusufu Makamba.
Serikali...
jokakuu kwa maneno mengine una maana kwamba sisi tunao debate hii issue dhidi ua huyu Mama sisi ndiyo wana mtandao ama mimi sijakuelewa ? Kwanza tunatafiti kujua kwa nini huyu mama atumie dege lote yeye mtu mmoja kwa gharama zetu . Majibu yakisha kuwa wazi then wenye akili watajua kwamba JK si...
Hiki ni kiini macho .The son fo Tanzania kabeba watu kibao kwenda nao US huku wakiwa watupu hawaja jiandaa .Leo kurudi nyumba ni hadithi na urudishaji wa njia iliyo kuwa suggested kwangu naona ni kupotezeana muda kiini macho cha Siasa .Walio nunu hizo nyumba anawajua na alishiriki uuzaji wa...
Jamani mtu kwao .Anataka kukumbukwa si kama Mwalimu alivyo waacha watu wa Musoma watupu . Hizi ni zama za mtu kwao hata ukisema ni Mbegani basi bado ni Bagamoyo hiyo sijaona tofauti lakini kuiendeleza bandari ya Mtwara ingalikuwa big plus naamini na watu wa Mtwara wapate kusikikana kupata ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.